Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

A is eee[emoji3][emoji3][emoji3] umejitahidi
Sijui ningeita "Prok" maana kigugumizi kilitangulia.

Pale tulipokuwa tumekaa/tumesimama kwenye Tent mida ya mchana, mliitwa mkaanza kuitana na kuelekea upande wa Magharibi, mlitokea kwenye kale kaCafe mkatupita hapo mbele, mkawa mnaitana. Kuna wanaume walikuwa wamekaa nyuma ya Tent mmoja akaenda kuwaita, mimi muda huo ninapiga jicho la ukweli nikiwaza na kuwazua kuwa "Prok ni yupi hapa"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nadhani Swala la kuchelewa Kuitwa Kazini,Kuwa Na Receive Nyingi Kwenye Account, Na kuwa Na Barua ya kuitwa kazini muda mrefu bila Kuanzaa kazi na kulamba Asali.
Sababu Ni Hiyo Point No 50. Isomeke ...
 

Attachments

  • Screenshot_20221108-062839_WPS Office.jpg
    Screenshot_20221108-062839_WPS Office.jpg
    191.9 KB · Views: 16
Kwanza ujue your education background.pili uzijue duties za post yako vizuri maana miongoni mwa maswali mengine yanatoka huko,.@wizy alieleza vizuri huko juu kuhusu maswali common ambayo unaweza ulizwa na utayajibu kulingana na kada husika
Education background hiyo ni oral,me nataka possible za written mana hata written bado kuitwa
 
Back
Top Bottom