Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna jipya ndio maanaKumepoaaa😂😂😂
Tunakukubali, mdau wa maendeleo ya vijana Afrika Mashariki na Kati.kuna pdf uko wapambanaji
pamoja mwananguTunakukubali, mdau wa maendeleo ya vijana Afrika Mashariki na Kati.

nipo mwananguTpain mzee wa taharuki upooo ?
Kweli kutafuta kazi Bongo nayo ni kazi , yaani kuna kutafuta ajira ni ajira kabisa .
Kweli kua uyaone

Inafedhehesha sana, yaani unaingia chumba cha usaili, unakaribishwa 'Bwana mkubwa karibu sana, kaa hapo usije ukaanguka' Dah!Kuna watu tushaota mvi kabisa , interviwers wanakusalimia shikamoo babu
Inasikitisha sana mkuu!!!Inafedhehesha sana, yaani unaingia chumba cha usaili, unakaribishwa 'Bwana mkubwa karibu sana, kaa hapo usije ukaanguka' Dah!
Mpaka uthemeee😁😁 na jibu halijawah patikanaaaa, vile vile utumishi wanazidi kulifanya hili swali kuwa gumu zaidi, nikijiangalia mwenyewe na ndevu zangu kitaa naona Aibu maana sina muelekeo🥴🥴Huwezi amini Leo ndio nimeelewa maana ya huu uzi...
Kazi ipo 😁😁😁
Nini kimetokea kaka ?Huwezi amini Leo ndio nimeelewa maana ya huu uzi...
Kazi ipo 😁😁😁
Kazi kweli kweli 🤣🤣 🤣 na hapo mzee anakwambia hajui cha utumishi 😂 yeye anachosema niMpaka uthemeee😁😁 na jibu halijawah patikanaaaa, vile vile utumishi wanazidi kulifanya hili swali kuwa gumu zaidi, nikijiangalia mwenyewe na ndevu zangu kitaa naona Aibu maana sina muelekeo🥴🥴