Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila kuna mshikaji like alikuwa hanielewi nachojibu kabisa,ila kuna wamama walitikisa hadi kichwa aisee, sijui kwavile maswali niliyaelewa yale!?
Pale sio hakuelewi mzee kunakuaga na mmoja ambae anakupoteza concentration sasa wewe ukijikologa ukamzingatia umepotea pale wewe shuka madude acha atingishe kichwa mpka achoke
 
Poa poa mzee ikawe heri
OUT naona wamerudia tangazo la nafasi za kazi sijui walifanya wote walikandwa, pia hata kama walikandwa kwani wasichukue watu toka kanzi data ya IAE , ADEM n.k maana pale nafasi ya Tutorial Assistant wangeweza chukua watu toka sehemu hizo labda zile za masters ndio wangerudia
 
Duh mzee mbn unarhisisha sana maisha kanzi data kutoka chuo cha kti mpk chuo kikuu?
 
Ila kuna mshikaji like alikuwa hanielewi nachojibu kabisa,ila kuna wamama walitikisa hadi kichwa aisee, sijui kwavile maswali niliyaelewa yale!?
Iyo ipo sana me kunajamaa Kila ninachojibu alikua anasema your answer is too short pia anacheka duuuuh nikajua nimeisha ila pdf ilovotoka mambo yakawa sawa tuu sometimes wanafanyaivo kukupima confidence Yako tuuu
 
Duh mzee mbn unarhisisha sana maisha kanzi data kutoka chuo cha kti mpk chuo kikuu?
Sifa za IAE ni GPA ya 3.8 hakuna tofauti na OUT. Pia wapo waliofanya oral ya Adem na wana GPA KUBWA na wanasifa za KUFUNDISHA CHUO KIKUU. MTU KUFANYA USAILI WA VYUO VYA KQTI HAINA MAANA KWAMBA NDIO HANA SIFA ZA KUWA T.O japo wengine kweli hawana maana wana GPA ya 3.5. Mfano mimi Nilifanya IAE nikakandwa awamu ya kwanza, , DUCE nilifika mpaka oral ila sikubahatika kuitwa kazini now nasubiri placements ya ADEM.
 
Note: mtu anaweza fanya usaili wa vyuo vya kati na akawa na sifa hata ya chuo kikuu ila mtu ambaye ana gpa ya 3.5 huyu ndio hawezi. Japo nasikia hata wale waliosoma vyuo vya kati hata kama wana GPA kubwa hawawezi kuwa ma T.O kwa vyuo vikuu vilivyochini ya TCU ila hili sina uhakika nalo.
 
Iyo ipo sana me kunajamaa Kila ninachojibu alikua anasema your answer is too short pia anacheka duuuuh nikajua nimeisha ila pdf ilovotoka mambo yakawa sawa tuu sometimes wanafanyaivo kukupima confidence Yako tuuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii scenario yakucheka nilikutana nayo asa nilikuwa nishawajua hata sikujisumbua kumfikiria nilishuka zangu nikasepa
 
Iyo ipo sana me kunajamaa Kila ninachojibu alikua anasema your answer is too short pia anacheka duuuuh nikajua nimeisha ila pdf ilovotoka mambo yakawa sawa tuu sometimes wanafanyaivo kukupima confidence Yako tuuu
Imagine function za CAG Constitution imezitaja tatu, wao wanataka 5, sijui hili swala la points tano walilitoa wapi utumishi[emoji3], sijui hizo mbili nlizitoa wapi mimi za kuongezea[emoji3]
 
Imagine function za CAG Constitution imezitaja tatu, wao wanataka 5, sijui hili swala la points tano walilitoa wapi utumishi[emoji3], sijui hizo mbili nlizitoa wapi mimi za kuongezea[emoji3]
Yaaani sijui kawafundisha Nani wanafanya kukuhesabia mpk zitimie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukikutana na steps ndo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…