Pale sio hakuelewi mzee kunakuaga na mmoja ambae anakupoteza concentration sasa wewe ukijikologa ukamzingatia umepotea pale wewe shuka madude acha atingishe kichwa mpka achokeIla kuna mshikaji like alikuwa hanielewi nachojibu kabisa,ila kuna wamama walitikisa hadi kichwa aisee, sijui kwavile maswali niliyaelewa yale!?