Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi ni mnene wastan jamn, rangi ya kunde, na jana Mwifa atakuwa ameniona tu, ni vile my ID is very important now, English figure ndo sina[emoji1787]
@wizy unaona? nilikuambia..

Ningeshout, huenda angegeuka kwa kushtuka na ningemjua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaaani sijui kawafundisha Nani wanafanya kukuhesabia mpk zitimie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukikutana na steps ndo balaa
Mimi nashukuru jana, nilikuwa najibu point zinapitiliza tano na wao wanaendelea kunisikiliza tu, hapo ni kwa swali nililolielewa vizuri.
 
Ila pia nimejifunza kitu,kuwa ukiwa kijana yakupasa kupambana kutafuta settlement ya kazi kama umesoma.Na hata ukianguka usikate tamaa.Nimekutana na jamaa ameomba na kuitwa interviews kama 8 hivi na hajawahi kata tamaa.Mpaka utumishi wanamjua
Mlikuwa wote kwenye oral leo?

Mimi pia nishajulikana[emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alipiga jana katoka kichwa kimepata moto balaa yeye ana point tatu za CAG afu wanataka point 5
Hahahaaa, hizo hizo za kwenye Act hamna kuongeza zingine, ukiongeza ujue ni kinyume cha sheria maana unaweka sheria yako[emoji3][emoji3]
 
Hahahaaa, hizo hizo za kwenye Act hamna kuongeza zingine, ukiongeza ujue ni kinyume cha sheria maana unaweka sheria yako[emoji3][emoji3]
Hapo ningekuwa Mimi ningewambia aseeh katiba imetupa majukumu matatu sasa labda mniambie Kuna katiba nyingine au😂😂😂😂
 
zipo nyingi tu,jibidiishe tu kusoma!
Tushajizoesha hivyo labda, maana kwenye sheria kama unahitaji kufanya any other extra work itaandikwa, ukifanya kazi out of sheria hasahasa hizi taasisi ambazo zimekuwa established na constitution lazima tuquestion. Unless ukichukua hizo tatu ukazivunja vunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…