Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Niko lindiKama upo mbeya Kuna mafyati unapapata??πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko lindiKama upo mbeya Kuna mafyati unapapata??πππππ
Wamefuta hawa jamaaYamekuwa hayo tena
ππππKijana wa hovyo umekuja kutupa preshaJamani mkaangalie placement tayari huko
Taasisi ganiWamefuta hawa jamaa
Tutumie kama umedownloadWamefuta hawa jamaa
IAE mkuuTaasisi gani
Ungeonekana mjeuri ingawa ndio ukweli[emoji3][emoji3][emoji3]Hapo ningekuwa Mimi ningewambia aseeh katiba imetupa majukumu matatu sasa labda mniambie Kuna katiba nyingine au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natuma mda SI mrefu ngoja nishuke kwenye daladalaTutumie kama umedownload
Mtumie kijana hapo anaisubiri sana hiyoIAE mkuu
Niliulizwa maswali 7 aisee ila niliyajibu ndani ya dk 10 maana nilikuwa napiga short sana hadi point zinapitiliza/zidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulipata bahati sana mzee hii kazi ni yako mkuu niamini
ππππaaah me ningemjibu upuzi sitakagi hahhhh Kuna wakati unakuta analazimisha anachowaza yeye hao nawambiaga sasa kama unataka majibu mengine labda nikudanganyeUngeonekana mjeuri ingawa ndio ukweli[emoji3][emoji3][emoji3]
Jumanne ndio hii, ila hadi usiku mnene upite ndio tutajua kama ipo au laNasikia harufu ya placement
Ndo wanatakaga hivyo short tu Yani hii mzee me najua umeipata kwasababu ulienda tayari Ushapata muongozo kulivyo na kuhandle presha ya mule kwahiyo hii ni yetu mzeeNiliulizwa maswali 7 aisee ila niliyajibu ndani ya dk 10 maana nilikuwa napiga short sana hadi point zinapitiliza/zidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ππππKwamba daladala imeshikilia simu mzeeNatuma mda SI mrefu ngoja nishuke kwenye daladala
Acha tuoneππππKwamba daladala imeshikilia simu mzee
Muda ushapita wanataka kuweka zingineHivi kwanini ile placement ya MUHAS imefutwa??
Jiandae kuchukua barua yako udomAcha tuone
Ni juzi tu hapa imetoka na Kuna nyengine zipo toka septemberMuda ushapita wanataka kuweka zingine