Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye app selected for sasa ilivyo na ufala Kuna moja nilikosa mwaka jana na yenyewe imeandika selected for 😂😂😂😂
Mi nadhani hii awamu yote placement zikitoka ndio tutawapa majibu kamili kuhusu status
 
Hakuna iliyomuandikia selected??😂😂😂😂
Ambao nilipata kuwasiliana nao ni 6 tu kati ya 18 tuliofanya oral ila wote majibu ni not selected.sasa sijui kama wote 6 tumekandwa au vipi😂😂😂😂noma sana kaka
 
basi kama unashortlisted na not selected labda upo database maana Kuna wengine wale wa IT walisema wameandikiwa selected for oral
Eeh wa it walianza written..sisi tulifanya oral pekee..kwahyo hatuelewi tunamngoja tu bwana placement
 
Back
Top Bottom