Angalia kwenye app kule imekuandikiajeMimi hiyo shortlisted pekee naona hadi miezi sita itapita bila bila
Placement ndo msema ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia kwenye app kule imekuandikiajeMimi hiyo shortlisted pekee naona hadi miezi sita itapita bila bila
Placement ndo msema ukweli
Hiyo ndo nzuriiNigaie kikoti aseeh hii yangu imepauka nikiwa kwa mbali naonekana kama kimfuko cha nyanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shortlisted basi[emoji23]Angalia kwenye app kule imekuandikiaje
Kwani we mwamba kwenye app inasemaje😂Angalia kwenye app kule imekuandikiaje
Kwenye web inaandika shortlisted afu kwenye app ndo Kuna kisanga sasa cha not selected na selected for😂😂😂😂Shortlisted basi[emoji23]
Kwenye app selected for sasa ilivyo na ufala Kuna moja nilikosa mwaka jana na yenyewe imeandika selected for 😂😂😂😂Kwani we mwamba kwenye app inasemaje😂
Dah😂😂ila hii not selected watu kadhaa wameniambia the same,,acha tuendelee kumngoja msemakweli placementKwenye web inaandika shortlisted afu kwenye app ndo Kuna kisanga sasa cha not selected na selected for😂😂😂😂
😂😂😂Nipe hiyo yakike nikaiuze nipate nauli yakufatia baruaHiyo ndo nzurii
Zangu za kike
Ulifanya nao oral au?😂😂😂😂😂Dah😂😂ila hii not selected watu kadhaa wameniambia the same,,acha tuendelee kumngoja msemakweli placement
Mi nadhani hii awamu yote placement zikitoka ndio tutawapa majibu kamili kuhusu statusKwenye app selected for sasa ilivyo na ufala Kuna moja nilikosa mwaka jana na yenyewe imeandika selected for 😂😂😂😂
Eeh tulifanya wote oral kaka😂Ulifanya nao oral au?😂😂😂😂😂
Kabisa zikitoka asaivi ndo tutapata jibu la hizi status zoteMi nadhani hii awamu yote placement zikitoka ndio tutawapa majibu kamili kuhusu status
Hakuna iliyomuandikia selected??😂😂😂😂Eeh tulifanya wote oral kaka😂
Ambao nilipata kuwasiliana nao ni 6 tu kati ya 18 tuliofanya oral ila wote majibu ni not selected.sasa sijui kama wote 6 tumekandwa au vipi😂😂😂😂noma sana kakaHakuna iliyomuandikia selected??😂😂😂😂
Ambao nilipata kuwasiliana nao ni 6 tu kati ya 18 tuliofanya oral ila wote majibu ni not selected.sasa sijui kama wote 6 tumekandwa au vipi😂😂😂😂noma sana kaka
6 postsPost zilikuwa ngapi?
basi kama unashortlisted na not selected labda upo database maana Kuna wengine wale wa IT walisema wameandikiwa selected for oral6 posts
Eeh wa it walianza written..sisi tulifanya oral pekee..kwahyo hatuelewi tunamngoja tu bwana placementbasi kama unashortlisted na not selected labda upo database maana Kuna wengine wale wa IT walisema wameandikiwa selected for oral
labda kuna tatzo sehemu kwasababu watu wengi walioanzia oral wameandikiwa not selected labda ni app ndo ina shidaEeh wa it walianza written..sisi tulifanya oral pekee..kwahyo hatuelewi tunamngoja tu bwana placement