Wameamua tu labdaNi juzi tu hapa imetoka na Kuna nyengine zipo toka september
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameamua tu labdaNi juzi tu hapa imetoka na Kuna nyengine zipo toka september
Nna not selected yangu with red color imetulia tu pale😂😁😁😁😁Kwenye app ndo nataka kwenye web inaandika shortlisted kwenye app ipoje?
😂😂😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo wamekuweka data baseNna not selected yangu with red color imetulia tu pale😂
Naona unashtua mizuka ya jobless[emoji3][emoji3][emoji3]Jamani mkaangalie placement tayari huko
Ngoja tusubiri placement tuNdo wanatakaga hivyo short tu Yani hii mzee me najua umeipata kwasababu ulienda tayari Ushapata muongozo kulivyo na kuhandle presha ya mule kwahiyo hii ni yetu mzee
Yaan wewe, atavaa suti ya kike au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhakika mzee tukutane kwenye kuchukua barua umeandaa suti mzee?au nikuazimie kwa Prok
Nyau weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anavaaga yakwangu huyo namuazimaga kikoti
Acha kaka😂😂niliiona tangu juzi aisee😂😂😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo wamekuweka data base
Hahahaha aaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu avatar yake imekuvuruga hahhh
Vizuri mkuu, nimeonaSawa nabadili
Prok amekua most wanted[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Prok ameanza kusakwa sana
😂😂😂😂atavaa hivyo hivyo tulishamwambia ashone suti yakufatia barua hataki kuelewaYaan wewe, atavaa suti ya kike au
Kama kuna mtu yupo Shabiby inayotoka Dom saa kumi nipo humo nimejituliza tuli nifike Dar usiku wa manane[emoji23], km ni mnywaji nimpe kinywaji [emoji3060][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Prok ameanza kusakwa sana
Kijana wa hivyo sana😂😂😂😂😂😂😂atavaa hivyo hivyo tulishamwambia ashone suti yakufatia barua hataki kuelewa
😂😂😂😂Tulikubaliana status hazina maana au mshabadili makabaliano?Acha kaka😂😂niliiona tangu juzi aisee
Sema nina suti yangu ya gray hiyo ndo itakuwa ya kufatia barua sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atavaa hivyo hivyo tulishamwambia ashone suti yakufatia barua hataki kuelewa
😂😂😂😂Acha nimuazime moka yangu sasaKijana wa hivyo sana😂😂😂
Mimi hiyo shortlisted pekee naona hadi miezi sita itapita bila bila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulikubaliana status hazina maana au mshabadili makabaliano?
Nigaie kikoti aseeh hii yangu imepauka nikiwa kwa mbali naonekana kama kimfuko cha nyanya😂😂😂😂Sema nina suti yangu ya gray hiyo ndo itakuwa ya kufatia barua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
hii nyingine ni ya mikando tuuu