Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ungeonekana mjeuri ingawa ndio ukweli[emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚aaah me ningemjibu upuzi sitakagi hahhhh Kuna wakati unakuta analazimisha anachowaza yeye hao nawambiaga sasa kama unataka majibu mengine labda nikudanganye
 
Niliulizwa maswali 7 aisee ila niliyajibu ndani ya dk 10 maana nilikuwa napiga short sana hadi point zinapitiliza/zidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndo wanatakaga hivyo short tu Yani hii mzee me najua umeipata kwasababu ulienda tayari Ushapata muongozo kulivyo na kuhandle presha ya mule kwahiyo hii ni yetu mzee
 
Back
Top Bottom