Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Asante sana Madam Good is goodHongera sana Utawala2025 , God is truly faithful kwakweli. Tumekuona humu in a while na kiukweli ulikuwa mmoja wa wanaoactivate hii thread. Kwa wengine tuliobaki, mbele tunaendelea. We keep on trying, praying and daring hata kama ni nafasi moja TU. Hakuna kinachodumu milele duniani, kila hali ni transitional tu. Our Master Author anaandika hadithi zetu kwa muda aonao ni sahihi, lets keep pressing on.
Sherehe wapi jamani mimi hizi raha sijazoea jamani.Mliolamba asali wote Hongereni sana. Tunafikiria kuwafanyia sherehe fupi ya kuwapa pole kwa sekeseke na kumshukuru Mungu kwa wema wake kwenu maeneo ya Iyumbu
See you in Doms guys.
Hongera sana mkuuMUNGU NI MWEMA NA MIMI NIMEPATA 🙌
Telecom
Sherehe wapi jamani mimi hizi raha sijazoea jamani.
Bado wanasherehekea, c unaona tangu juzi bwana Utawala2025 alivyolamba asali hajatia miguu humu bado anasherehekea ushindiManga Jr mikeka ya Afya.
Mbona hamna shuhuda humu au sio wadau wa jf.
Maana mpaka sasa watu zaidi ya Buku wamelamba dume
Ni kweli mkuu, maana kuna received kama 3 za TCRA na zingine taasisi nyingine. Tuendelee kupambana mpaka kielewekeOwkey, hapo kikubwa ni kuvuta msuri kweli kweli maana sehemu zake izo ni zile za competition za ukweli.
Mkuu tukumbukane. Mimi ni dalali wa matanki, mafriji, oven, blender, vyombo vya moto, nyumba, viwanja, pia kama unahitaji MC wa sherehe, mpiga picha na kununua suti, viatu vya italia nipo availabo 24/7 ila kwa sasa nipo boda ya Tunduma.Asante sana Madam Good is good
Hadi sasa kada ya afya waliochukuliwa wamepangwa wizara ya afya. Je hii ni pamoja na waliokuwa wamechagua mikoa mbalimbali kama Morogoro, mbeya nk (yaani wote wanakuwa regarded kama wizara ya afya au?).Utumishi ukifaulu wale wa kwanza hupangiwa kwa muajiri ambaye ndipo ulifanyiwa interview wale wanaobaki database ndio hupangiwa kwenye muajiri mwingne ambaye ana uhitajii,,,,,, utumishi wao wanachukulia taasisi zote ni sawa.
Unataka kuvuka bodaMkuu tukumbukane. Mimi ni dalali wa matanki, mafriji, oven, blender, vyombo vya moto, nyumba, viwanja, pia kama unahitaji MC wa sherehe, mpiga picha na kununua suti, viatu vya italia nipo availabo 24/7 ila kwa sasa nipo boda ya Tunduma.
Hakika mkuu, kama hakuna uhakika wa usaili mwaka huu watuambie tukatafute maisha sehemu nyingine. Nimefanya utafiti wa kina, kuna fursa nchi za Botswana na Eswatini.Unataka kuvuka boda
Hadi sasa kada ya afya waliochukuliwa wamepangwa wizara ya afya. Je hii ni pamoja na waliokuwa wamechagua mikoa mbalimbali kama Morogoro, mbeya nk (yaani wote wanakuwa regarded kama wizara ya afya au?).
Kweli mkuu maisha ni popote.Hakika mkuu, kama hakuna uhakika wa usaili mwaka huu watuambie tukatafute maisha sehemu nyingine. Nimefanya utafiti wa kina kuna fursa nchi za Botswana na Eswatini.
Binafsi ni risk taker. Nipo tayari muda wowote kuvuka boda. Kuna michongo tu nasikilizia likiwemo la usaili kama wataita mapema.
Hicho kitu hakiwezekani maake hao ni waajiri wawili tofautii,wale wa tamisemi itakuwa badoHadi sasa kada ya afya waliochukuliwa wamepangwa wizara ya afya. Je hii ni pamoja na waliokuwa wamechagua mikoa mbalimbali kama Morogoro, mbeya nk (yaani wote wanakuwa regarded kama wizara ya afya au?).
Hiyo ndio faida ya kusikiliza tunapo wambia hata ukiona nafasi ni moja we nenda kwenyw usaili usiache kwendaHadi sasa kuna kada za afya ambazo zimeshapangiwa watu wengi zaidi kuliko nafasi zilizotangazwa:
1. Nursing officer II walitangaza nafasi 301 hadi sasa wameajiri 404 wizara ya afya!
2. Pharmacist II walitangaza nafasi 128 hadi sasa wameajiri 164 wizara ya afya
3. Health lab. scientist II walitangaza nafasi 57 hadi sasa wameajiri 214 wizara ya afya
4. Technologist pharmacist II walitangaza nafasi 128 hadi sasa wameajiri 236 wizara ya afya.
Lakini kuna kada ya afya ambayo imeajiri watu wanaolingana na nafasi zilizotangazwa: Medical Officer II walitangaza nafasi 726 hadi sasa wameajiri 726 (pdf mbili 681 na 45) wizara ya afya.
Swali: Ina maana na nafasi za mikoa(kwenye halmashauri) nazo zitatoka au ndio hao hao waliopangwa wizara ya afya?
Japo jambo hili limejadiliwa humu lakini tunaomba wahusika hasa waliomu humu jukwaani watupe ufafanuzi wa uhakika!