Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana Utawala2025 , God is truly faithful kwakweli. Tumekuona humu in a while na kiukweli ulikuwa mmoja wa wanaoactivate hii thread. Kwa wengine tuliobaki, mbele tunaendelea. We keep on trying, praying and daring hata kama ni nafasi moja TU. Hakuna kinachodumu milele duniani, kila hali ni transitional tu. Our Master Author anaandika hadithi zetu kwa muda aonao ni sahihi, lets keep pressing on.
Asante sana Madam Good is good
 
Mliolamba asali wote Hongereni sana. Tunafikiria kuwafanyia sherehe fupi ya kuwapa pole kwa sekeseke na kumshukuru Mungu kwa wema wake kwenu maeneo ya Iyumbu

See you in Doms guys.
Sherehe wapi jamani mimi hizi raha sijazoea jamani.
 
Asante sana Madam Good is good
Mkuu tukumbukane. Mimi ni dalali wa matanki, mafriji, oven, blender, vyombo vya moto, nyumba, viwanja, pia kama unahitaji MC wa sherehe, mpiga picha na kununua suti, viatu vya italia nipo availabo 24/7 ila kwa sasa nipo boda ya Tunduma.
 
Utumishi ukifaulu wale wa kwanza hupangiwa kwa muajiri ambaye ndipo ulifanyiwa interview wale wanaobaki database ndio hupangiwa kwenye muajiri mwingne ambaye ana uhitajii,,,,,, utumishi wao wanachukulia taasisi zote ni sawa.
Hadi sasa kada ya afya waliochukuliwa wamepangwa wizara ya afya. Je hii ni pamoja na waliokuwa wamechagua mikoa mbalimbali kama Morogoro, mbeya nk (yaani wote wanakuwa regarded kama wizara ya afya au?).
 
Mkuu tukumbukane. Mimi ni dalali wa matanki, mafriji, oven, blender, vyombo vya moto, nyumba, viwanja, pia kama unahitaji MC wa sherehe, mpiga picha na kununua suti, viatu vya italia nipo availabo 24/7 ila kwa sasa nipo boda ya Tunduma.
Unataka kuvuka boda
 
Unataka kuvuka boda
Hakika mkuu, kama hakuna uhakika wa usaili mwaka huu watuambie tukatafute maisha sehemu nyingine. Nimefanya utafiti wa kina, kuna fursa nchi za Botswana na Eswatini.

Binafsi ni risk taker. Nipo tayari muda wowote kuvuka boda. Kuna michongo tu nasikilizia, likiwemo la usaili kama wataita mapema.
 
Hadi sasa kada ya afya waliochukuliwa wamepangwa wizara ya afya. Je hii ni pamoja na waliokuwa wamechagua mikoa mbalimbali kama Morogoro, mbeya nk (yaani wote wanakuwa regarded kama wizara ya afya au?).

Hili kwa sasa hatujalijua. Tunasubiri wakachukue barua PSRS then KM Afya. Barua za katibu ndio zitasema sasa kituo ni wapi na mwajiri ni nani.
 
Hakika mkuu, kama hakuna uhakika wa usaili mwaka huu watuambie tukatafute maisha sehemu nyingine. Nimefanya utafiti wa kina kuna fursa nchi za Botswana na Eswatini.

Binafsi ni risk taker. Nipo tayari muda wowote kuvuka boda. Kuna michongo tu nasikilizia likiwemo la usaili kama wataita mapema.
Kweli mkuu maisha ni popote.
 
H
Hadi sasa kada ya afya waliochukuliwa wamepangwa wizara ya afya. Je hii ni pamoja na waliokuwa wamechagua mikoa mbalimbali kama Morogoro, mbeya nk (yaani wote wanakuwa regarded kama wizara ya afya au?).
Hicho kitu hakiwezekani maake hao ni waajiri wawili tofautii,wale wa tamisemi itakuwa bado
 
Hadi sasa kuna kada za afya ambazo zimeshapangiwa watu wengi zaidi kuliko nafasi zilizotangazwa:
1. Nursing officer II walitangaza nafasi 301 hadi sasa wameajiri 404 wizara ya afya!
2. Pharmacist II walitangaza nafasi 128 hadi sasa wameajiri 164 wizara ya afya
3. Health lab. scientist II walitangaza nafasi 57 hadi sasa wameajiri 214 wizara ya afya
4. Technologist pharmacist II walitangaza nafasi 128 hadi sasa wameajiri 236 wizara ya afya.

Lakini kuna kada ya afya ambayo imeajiri watu wanaolingana na nafasi zilizotangazwa: Medical Officer II walitangaza nafasi 726 hadi sasa wameajiri 726 (pdf mbili 681 na 45) wizara ya afya.
Swali: Ina maana na nafasi za mikoa(kwenye halmashauri) nazo zitatoka au ndio hao hao waliopangwa wizara ya afya?
Japo jambo hili limejadiliwa humu lakini tunaomba wahusika hasa waliomu humu jukwaani watupe ufafanuzi wa uhakika!
 
Hiyo ndio faida ya kusikiliza tunapo wambia hata ukiona nafasi ni moja we nenda kwenyw usaili usiache kwenda
 
Back
Top Bottom