Kusema ukwel hizi ajira za watendaji kata kukaa apo kwenye Legal ni zina kwaza sana 😅ndo kusema kada ina pewa moyo kwakua ina vumbi sana
Uja nielewa mkuu nili maanisha kwenye Legal ajira sio nyingi ,nyingi ni izo za watendaji .uki kuta post 60 kwenye Legal jua 58 ni za watendaji ambazo .mtu mwenye Bachelor awezi ku apply kwa sababu a qualifyMkuu wangu, kwanza nikupe salamu.
Siku ukiingia kwenye utumishi wa umma ukapata namna ya kucahanganyikana na watu wengi utakuja kujifunza kwamba lengo kuu ni KUPATA HELA bila kujali unafanya nini. Ndio utakuja kugundua kuwa kuna watu kule vijijini wanafanya mambo ya vumbi vumbi kwenye jua kali na wanapata hela kuliko maafisa kadhaa kwenye kiyoyozi kwenye majengo ya wizara pale mji wa kiserikali.
Vumbi lina hela. Vijijini pia kuna hela. Kuna watu wamejawa vumbi na wana hela. Kuna maafisa wananyonga tai safi na wanatake home ya 1.2 m kwa mwezi na extra duty ya 300 k kwa mwezi ambayo yote inaishia kwenye matumizi.
Be curious. Chungulia kwenye vumbi uone kama unaeza toka na chochote kitu. Kama vumbi halikukeri, you will have best retirement life afte civil service.
Adios.
Hapa unaweza kuta wanasuka pdf liwe moja kuliko kutoa vipand😁Leo ni siku ya tatu bila pdf ya maana wala kuitwa usaili kwenye taasisi ambazo RECEIVED zimerundikana. PSRS tunaomba mtukumbuke.
Hawana lolote, wapo kwenye huu uzi wanatuchora tu. Wanajiona maisha wameyapatia. FakeniHapa unaweza kuta wanasuka pdf liwe moja kuliko kutoa vipand😁
Poa MkuuTumia website hii portal.ajira.go.tz
Hongera sana ukawe mtumishi muadilifuDaaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)
Asante sana mkuuHongera sana ukawe mtumishi muadilifu
Hongera sanaDaaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)
Daaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)