Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kusema ukwel hizi ajira za watendaji kata kukaa apo kwenye Legal ni zina kwaza sana 😅ndo kusema kada ina pewa moyo kwakua ina vumbi sana

Mkuu wangu, kwanza nikupe salamu.

Siku ukiingia kwenye utumishi wa umma ukapata namna ya kucahanganyikana na watu wengi utakuja kujifunza kwamba lengo kuu ni KUPATA HELA bila kujali unafanya nini. Ndio utakuja kugundua kuwa kuna watu kule vijijini wanafanya mambo ya vumbi vumbi kwenye jua kali na wanapata hela kuliko maafisa kadhaa kwenye kiyoyozi kwenye majengo ya wizara pale mji wa kiserikali.

Vumbi lina hela. Vijijini pia kuna hela. Kuna watu wamejawa vumbi na wana hela. Kuna maafisa wananyonga tai safi na wanatake home ya 1.2 m kwa mwezi na extra duty ya 300 k kwa mwezi ambayo yote inaishia kwenye matumizi.

Be curious. Chungulia kwenye vumbi uone kama unaeza toka na chochote kitu. Kama vumbi halikukeri, you will have best retirement life afte civil service.

Adios.​
 
Uja nielewa mkuu nili maanisha kwenye Legal ajira sio nyingi ,nyingi ni izo za watendaji .uki kuta post 60 kwenye Legal jua 58 ni za watendaji ambazo .mtu mwenye Bachelor awezi ku apply kwa sababu a qualify

ivyo nikasema kwenye Legal kuna vumbi sana ndio maana wana weka izo za watendaji kuwapa moyo
 
Wapambanaji wenzangu wa Telecom. Tuendelee kuongeza received. Nyingine hizi.
 
Attachments

  • TBC.jpg
    TBC.jpg
    22.3 KB · Views: 4
Daaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)

Hongera sana bwana Mukiza. Umeanza harakati na baada ya miezi 10, umekula buyu la asali. Mungu apewe sifa. Tunakutakia utumishi mwema na maandalizi mema ya kustaafu.​
 
Back
Top Bottom