Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mkuu barua tayari unayo?? au unasikilizia kwanza, pili unaenda kwa professional yako moja kwa moja au unaanzia mafunzo yale ya miezi sijui tisa?
 
Tunaomba hints za oral hata kidogo mkuu maana siku hizi zimekuwa adimu baada ya watu kupiga usaili.
 
Kwa serikalini unaweza fanya interview LGA ila ukapangiwa taasisi.

Serikalini mshahara hua wa kawaida ila mkeo na mtoto watapata bima.

Baada ya mwaka mmoja utathibitishwa na utakua unaweza kukopa kiasi ambacho kwa sasa ulipo ili ukope utahitaji kuwapa kadi ya gari namba D au hati ya nyumba/ kiwanja.

Utakua una fursa mbalimbali haswa kwakua ni IT (hata ukiwa LGA)

Nilikua private, nimeacha mshahara mkubwa kiasi nikilinganisha na ulioandika hapa. Ila nimejisogeza huko kwakua nilipima in a long run nini kitatokea.
 
Nitaka niombe MNH,
Mungu nisaidie niwe shortlisted mara mbili(written na oral).
Then niitwe kazini.
 
Tunaomba hints za oral hata kidogo mkuu maana siku hizi zimekuwa adimu baada ya watu kupiga usaili.
Yaani kiufupi ukiwa na material pia ukapata maswali ambayo yalishawahi kuulizwa kwenye kada yako, maana kuna baadhi ya maswali huwa yanajirudia rudia
NB. Oral maswali ni matano
Swali la kwanza linajulikana ni " introduce yourself"( hapa unataja majina yako, mwaka ulozaliwa au miaka uliyonayo, Elimu yako kuanzia shule ya msingi huku ukitaja mwaka wa kuanza masomo yako na kumaliza, secondary hivyo hivyo na chuo hivyo hivyo baada ya hapo experience yako na hata kama ulifanya field tu we iweke kama experience baada ya hapo unamaliza(( hii ni kwa niaba ya member mmoja wa taesa alishawahi kutufanyia training na alitufundisha hivo kwenye introduce yourself lakini pia maswali mengine alituambia ni matano na hata ukiulizwa kwamba explain inabidi utaje tu yaani umention na hii ni kweli maana kuna jamaa yangu nae kaitwa kuna swali aliulizwa na mwanzo likianza na Explain na alipoanza kuexplain hapo hapo akaulizwa kwa msisitizo kwa mala ya pili nae akasanuka akaamza kutaja na mkeka ukatiki😁)) kwahiyo hapo cha kizingatia ni maswali matano tena unamention na confidence yako isizidi saaana na isipungua saana yaani iwe katikati

Muhimu: Ufuatiliaji na material ni vitu muhimu sana maana Ufuatiliaji ndo utafanya upate materials yote 🤗
 
This is helpful brother ubarikiwe na kila kheri kwenye majukumu yako mapya. Ikiwa kuna senior mwenye cha kuongezea hapo sio mbaya ajitokeze. Shukran.
 
Wakuu mimi nina swali. Kwa mfano ukiingia kwenye oral interview ya utumishi, je pale kwenye swali la "TELL US ABOUT YOUR SELF", je kwenye ile pannel ya utumishi huwa wana zingatia sana experience yako kwenye position husika au vipi?. Je kuna uwezekano ukawaambia kuwa mimi ni jobless, ili wakuzingatie sana?
 
Tell us about yourself ukiulizwa private na serikalini naamini zinatakiwa kujibiwa tofauti kabisa.

Mfano private ukiwa unajibu hili swali kuna vitu haswa strengths zako unazionyesha but kwa serikalini hiyo ni kuwapotezea muda.

Kwa private waweza enda mfano "My name is Boom111 I am 34 years old, I graduated at JF University with a degree in Sociology in 1990. I have five years of experience as a shopkeeper at JF store since 1991 to date.
During my tenure at JF Store I have managed to increas the store's profit by 2% from the previous 0.12%. I have established the second branch in Kenya and I now oversee all operations of JF store.
I am currently open to other opportunities to challenge myself into expanding my career into sanitary business"

Ila ingekua serikalini ni unaishia tu pale kwenye since 1991 to date.
 
Sawa, je utaanza kutaja your education back ground. Mfano primary, Secondary, advance, hadi chuo. Au unaanza kutokea kwenye your highest qualification. Na je part ya experience kuna mtu aliniambia ndio part unayo takiwa zungumuzia sana
 
mkuu barua tayari unayo?? au unasikilizia kwanza, pili unaenda kwa professional yako moja kwa moja au unaanzia mafunzo yale ya miezi sijui tisa?
Soon inafuatwa mkuu kwa shangwe na vifijo😁 na kuhusu mafunzo nadhani yatakuwepo japo uhakika sina
 
Dah kweli mkuu inatakiwa tuangalie na mbele.
 
Sawa, je utaanza kutaja your education back ground. Mfano primary, Secondary, advance, hadi chuo. Au unaanza kutokea kwenye your highest qualification. Na je part ya experience kuna mtu aliniambia ndio part unayo takiwa zungumuzia sana
Ungesoma hiyo comments ya mkuu pelius hapo juu ungeshapata majibu yote
 
Sawa, je utaanza kutaja your education back ground. Mfano primary, Secondary, advance, hadi chuo. Au unaanza kutokea kwenye your highest qualification. Na je part ya experience kuna mtu aliniambia ndio part unayo takiwa zungumuzia sana
Mimi oral ya kwanza nilitaja primary, seco na chuo.

Sikutoboa. Ila post ilikua moja tu.

Oral ya pili nilitaja highest qualification pekee. Nilitaja majina, umri, degree, chuo na mwaka niliomaliza. Experience ambapo nilitaja posts nilizowahi kushika na majina ya kampuni na miaka niliyoshika hizo posts.

Hii nikatoboa mpaka placement.
 
Usaili wana panga kulingana na adress uulio weka kwenye account au kwenye cover letter
 
Usaili wana panga kulingana na adress uulio weka kwenye account au kwenye cover letter
Kutokana na address uliyo weka kwenye account ndio maana unaambiwa hakikisha unaweka taharifa zako kwa usahihi hasa address Yako maana kwenye mabura ukishakikusanya uwez tena kubadilisha lkn kwenye account unaweza fanya kwa muda wowote ule endapo ukaaama na kwenda sehemu nyingine
 
Wanangu wa NPS kumekucha huko....Fanya yote ila usisahau kupitia Law of Evidence,Criminal procedure and Practice,civil procedure and Practice,legal methods na Constitution law and legal system in east Africa.All de best
 
Mwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa.
Usaili n trh 10 Novemba 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…