Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kafanye interview, huwa tunasisitizana hapa kila mara kuwa hata kama nafasi ni moja usiache kwenda kufanya Interview.
 
Kuna aliyewahi kutokuwa-shortlisted na kuwasiliana na utumishi kwa changamoto yoyote ile kisha akawekwa kwenye majina ya nyongeza. Naomba msaada wakuu. Je alitumia means gani kuwasiliana nao na walitatuaje tatizo lake. Mwifwa na yeyote mwenye kujua.
Kama hawajakushortlist kwa tatizo unaloona sio kosa, wasiliana nao watarekebisha na watakuita kwenye manina ya nyongeza.

Hii kitu ni kawaida huwa inatokea mara kwa mara kila interview zinapoitwa
 
Not shortlisted kwa sababu sija-certify cheti cha kuzaliwa
Ni kweli hujacertify? Kama kweli hapo hauna namna tena kwenye hiyo nafasi. Hata useme ukiweke sasahivi kilicho kuwa certified mfumo utaonesha ni lini hicho cheti kiliwekwa na watakutolea nje.

Hivyo rekebisha hilo kosa halafu kwa nafasi zingine zinazokuja utaweza kuitwa ukiomba
 
Kwani inafanyika mbali na ulipo?
 
Nna swali kidogo hv mfano unaexperience au field role tofauti na uliyoomba kwny usaili pale kweny tell us abt urself unaweza ongelea field au experience tofaut na nafas unayoomba
 
Nna swali kidogo hv mfano unaexperience au field role tofauti na uliyoomba kwny usaili pale kweny tell us abt urself unaweza ongelea field au experience tofaut na nafas unayoomba
Unaweza kuongelea ila kama huwezi align experience na role unayoomba haina haja kuforce. Mimi experience yangu ipo kwenye fintech na sales na nilishika positions za Team Leader na Manager.

Kwenye tell us about yourself nikaelezea hizo posts kama sehemu ya experience bila hata kutaka kuzifit na JD. Hii ni kwakua there is no way hizo experience ningezialign na JD.

Pia nimetoa mfano tell us about yourself inavyoweza kutofautiana kwa private na govt. Hope ukirudi kwa posts za jana utaona
 
Sema na safari za mbali ni muda mwingine ni raha, sasa mimi kutoka nilipo hadi Dom nikipanda gari jioni huku, maana yake kule nafika asubuhi nafanya harakati zangu halafu jioni nakwea pipa tena mpaka home nafika tena asubuhi🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…