Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ngoja tuone.
Kawaida ya interview kila mtu anakua na hofu na mwenzake, yaani hapo unakuwa unawaza daah hao 27 si watakua wa moto hatariii, wakati huo huo na yeye anakua anawaza hivyo hivyo. Interview ni vita na unaruhisiwa kumuombea mwenzio lolote limkute(akwame) au aogope kabisa kwenda ili wewe ujinyakulie hiyo nafasi😂
 
hapo bado kuna watu hawatahudhuria
 
Auko seriouse mkuu shabiby gari la mwisho kutoka dar kwenda dodoma ni saa 5 usiku ivyo ukipanda gari la saa 4 unafika dodoma saa 12 asubuh tena apo apo mjini .unafanya kunawa uso tu
unafika ata nguo aija jikunja kabsa.. then unarudi zako siku iyo iyo
Usaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gn
 
Auko seriouse mkuu shabiby gari la mwisho kutoka dar kwenda dodoma ni saa 5 usiku ivyo ukipanda gari la saa 4 unafika dodoma saa 12 asubuh tena apo apo mjini .unafanya kunawa uso tu
unafika ata nguo aija jikunja kabsa.. then unarudi zako siku iyo iyo
Anyway, mimi nilifanya hivi.

Nilitoka Dar saa tano na Shabiby nikafika saa 12 alfajiri nikaunganisha hadi ukumbi wa Asha Rose.

Nikamaliza saa tano asubuhi nikarudi kupanda gari la Dar.
Nna practical na oral wazee, hapo n lazima nilale dom mana hizo n siku mbili.
 
Yeah kama hivyo kulala lazima. Lodge ni 15K ila kaka kama katika cycle yako hamna mtu wa kukuazima 15K hiyo cycle vunja.

Day ya kwanza fika alfajiri kisha siku ya pili ya practical lala lodge. Ishu ni nauli au lodge?
 
Back
Top Bottom