Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Usaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gnKaka gest za 5000 mbona zipo dodoma au ten kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gnKaka gest za 5000 mbona zipo dodoma au ten kabisa?
Mmmmh hapo chakufanya mtafute mdau wako huyo atakua anapaelewa vizuri kule akupe muongozo, maana nilijua ni Migiro kuleUsaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gn
Ila hata humo ukitafuta za ten hukosi kakaUsaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gn
watu 28 wachache sana bahati yako iyo we nenda utalala hata juu ya mti.Usaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gn
Ngoja tuone.watu 28 wachache sana bahati yako iyo we nenda utalala hata juu ya mti.
Uo sio mwili wako ni njaa tuKwani mwili uliendaga wapi?
😂😂😂😂
Kawaida ya interview kila mtu anakua na hofu na mwenzake, yaani hapo unakuwa unawaza daah hao 27 si watakua wa moto hatariii, wakati huo huo na yeye anakua anawaza hivyo hivyo. Interview ni vita na unaruhisiwa kumuombea mwenzio lolote limkute(akwame) au aogope kabisa kwenda ili wewe ujinyakulie hiyo nafasi😂Ngoja tuone.
hapo bado kuna watu hawatahudhuriaKawaida ya interview kila mtu anakua na hofu na mwenzake, yaani hapo unakuwa unawaza daah hao 27 si watakua wa moto hatariii, wakati huo huo na yeye anakua anawaza hivyo hivyo. Interview ni vita na unaruhisiwa kumuombea mwenzio lolote limkute(akwame) au aogope kabisa kwenda ili wewe ujinyakulie hiyo nafasi😂
El marabiosh haya sasa tumeitwaaa hukoooo hahahahhahahapo kuna watu hawatahudhuria
Sasa ndugu yangu hii practical si litakua bomu hili,hata nikiwaza sijui ni practical ya aina gani aseenaona wadau wa electrical wanalalamika hawataki practical 🤣 🤣
Kafanye interview, mbona siku zote tunaambizana hapa na unajua hilo ila unataka tuanze kukupa nasaha tena.Raia tupo 28 [emoji24]
Dah ht bado cjui nifanyeje [emoji24]
Kwanza umepangiwa kituo gan,kwenye account yangu mbona sioni kituoSasa ndugu yangu hii practical si litakua bomu hili,hata nikiwaza sijui ni practical ya aina gani asee
Anyway, mimi nilifanya hivi.Practical Na oral
Hahaha asee ambao wameshawahi fanya practical watupe hints jamnhatari si unaona ni makao makuu kabisa kwenye mamitambo kule.
Usaili wangu n dom mjini kabisa pale karibu na stand ya Sabasaba, hizo gest zipo maeneo gn
Auko seriouse mkuu shabiby gari la mwisho kutoka dar kwenda dodoma ni saa 5 usiku ivyo ukipanda gari la saa 4 unafika dodoma saa 12 asubuh tena apo apo mjini .unafanya kunawa uso tu
unafika ata nguo aija jikunja kabsa.. then unarudi zako siku iyo iyo
Nna practical na oral wazee, hapo n lazima nilale dom mana hizo n siku mbili.Anyway, mimi nilifanya hivi.
Nilitoka Dar saa tano na Shabiby nikafika saa 12 alfajiri nikaunganisha hadi ukumbi wa Asha Rose.
Nikamaliza saa tano asubuhi nikarudi kupanda gari la Dar.
Nakubali nakubali mzee wanguKafanye interview, mbona siku zote tunaambizana hapa na unajua hilo ila unataka tuanze kukupa nasaha tena.
Yeah kama hivyo kulala lazima. Lodge ni 15K ila kaka kama katika cycle yako hamna mtu wa kukuazima 15K hiyo cycle vunja.Nna practical na oral wazee, hapo n lazima nilale dom mana hizo n siku mbili.