Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mwanangu pepa ilikua inakuandika program za plc na macalculation kama yote alafu hamna calculator halafu simu tumekusanya.yaani ile pepa hata mkiigilizana lazima mfeli tu 🤣 🤣
Hahaaaa ni mwendo wa Re advertised Tu
 
acha ndugu yangu pepa limejaa yale maboolean expression. sema tu waliturudishia nauli
Kichwa lazima kiwake moto nakwambia , na jinsi watu tunavyokaa mitaani hivi vitu huwa vinapotea kichwani kiasi kwamba ukija kujiandaa unahisi kichwa kizito balaa
 

Iv hii hali haiko kwangu peke yangu?
 
🤣🤣🤣🤣nacheka kama mazur walah
 
Naomba kuuliza, iv tahasis ambazo oral zinafanyoka ofsn kwao na watu wa utumishi uwa.wanakuepo? Na kwann oral wafanyie ofsn kwao na sio ofs za utumishi?
 
Nimebahatika kuwa shortlisted post ya data analyst mwenye abc za hii post tafadhali, tukibase kwenye sahili za psrs
 
Habari za asubuhi wataalamu,
Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au magistrate.

Je , nifanye nini ili niweze kuwa shortlisted kwa post zilizobaki ikiwa nilishawahi kuomba nafasi tano tofauti hapo nyuma (2022-2023) na zote nilikuwa shortlisted na kufanya interview.

Natanguliza shukurani ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…