Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mwanangu pepa ilikua inakuandika program za plc na macalculation kama yote alafu hamna calculator halafu simu tumekusanya.yaani ile pepa hata mkiigilizana lazima mfeli tu 🤣 🤣
Hahaaaa ni mwendo wa Re advertised Tu
 
mwanangu pepa ilikua inakuandika program za plc na macalculation kama yote alafu hamna calculator halafu simu tumekusanya.yaani ile pepa hata mkiigilizana lazima mfeli tu 🤣 🤣
Ladder logic zile au sio ?
Hatari
 
ilikua wanakwambia unayoweza wewe aisee ile pepa sidhani kama kuna mtu alivuka 5
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwamba majamaa yawaambia "fanya unaloweza "
Ila kuna majitu yanadharau ,halafu kucheki kila swali jiwe .
 
acha ndugu yangu pepa limejaa yale maboolean expression. sema tu waliturudishia nauli
Kichwa lazima kiwake moto nakwambia , na jinsi watu tunavyokaa mitaani hivi vitu huwa vinapotea kichwani kiasi kwamba ukija kujiandaa unahisi kichwa kizito balaa
 
Kuna hii hali ukiwa unasubiri kuitwa interview unakua na ujasiri kinoma kiasi kwamba hadi unawamind PSRS kwanini wanachelewesha, na hii inatokana na situation ngumu ya kitaa anayokua nayo jobless ya kutafuta wa kumwangushia lawama😂😂. Ikitokea mtu umeitwa confidence yote inapotea kabisa unaanza kuwaza jinsi utakavyo kandwa.

Iv hii hali haiko kwangu peke yangu?
 
Nishaota kipara na kitambi , navaa mashati kama ya Brother k sasa hivi ,
Panelists Tu wakiniona watatamani wakimbie room 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi kazi za TRC sikuomba na deni lenyewe la ERB sijalipa , hata kama ningeomba tu wasinge nishort list
🤣🤣🤣🤣nacheka kama mazur walah
 
Naomba kuuliza, iv tahasis ambazo oral zinafanyoka ofsn kwao na watu wa utumishi uwa.wanakuepo? Na kwann oral wafanyie ofsn kwao na sio ofs za utumishi?
 
Nimebahatika kuwa shortlisted post ya data analyst mwenye abc za hii post tafadhali, tukibase kwenye sahili za psrs
 
Habari za asubuhi wataalamu,
Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au magistrate.

Je , nifanye nini ili niweze kuwa shortlisted kwa post zilizobaki ikiwa nilishawahi kuomba nafasi tano tofauti hapo nyuma (2022-2023) na zote nilikuwa shortlisted na kufanya interview.

Natanguliza shukurani ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom