Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Day 1 Dar na Moro
Day 2 Dodoma na Tanga
Day 3 Pwani na Arusha
Day 4 Kigoma,Iringa na Mbeya
Day 5 (kesho) ?

Wazee wanaosubiria asali ya Tamisemi tucheze na mikeka kidogo
Songwe,katavi na mara
 
Day 1 Dar na Moro
Day 2 Dodoma na Tanga
Day 3 Pwani na Arusha
Day 4 Kigoma,Iringa na Mbeya
Day 5 (kesho) ?

Wazee wanaosubiria asali ya Tamisemi tucheze na mikeka kidogo
Hivi mishahara ya tamisemi ni sawa na wizara au kunakuzidiana? Nimeona MD mmoja uko insta. Anadai hawezi kwenda kuripoti kazini kwasababu mishahara wizara kamzidi tamisemi parefu. Na kazi tamisemi wanapiga sana vile vile malupulupu kama extra duty tamisemi hayapo, je ni kweli??
 
Kwa uhakika zaidi wacha tusubiri wajuzi waje watoe ufafanuzi, ila niliwahi kuona mahala wanasema ngazi za mishahara ni zilezile ila tofauti inakuja kuwa kwenye mazagazaga ya nje na mshahara kama hizo extraduty kote nafikiri zipo ila sasa utofauti mkubwa ni kulipwa kwa wakati, fursa za hapa na pale kama kusimamia mitihani ya vyuo vya afya, na vitu kama hivyo
 

Mishahara ya watumishi wa afya walioko serikali kuu (wizara ya afya) na serikali za mitaa (TAMISEMI) zinalingana.
 
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Ukweli mtupu

Tamisenga umasikinini
 
Nimekupata hapa nadhani kama kuna kuzidiana malupulupu ni kwa baadhi ya kada, wajuu ndio wanashiba zaidi , kama elimu yako ya sungura diploma au certificate kafurahie tamisemi uko utakuwa ata incharge na utahudhuria semina kadha wa kadha, na kama extra duty kote zipo basi hakuna utofauti zaidi labda kuna wa kuishi kijijini na mjini
 
Dah safi sana hii kujijua upo database au laah! Ngoja tusubiri.
Mbona Theard hii iliweka wazi na shuhuda ni nyingi kabisa kupitia a/c....
Hii inshu tunaotumia jicho la Tatu anayelengwa hapo ni Kadi ya Walimu na Afya Wanahoji sana lengo ni kuelekea 2025...Ikipita hapo watakuja na kauli nyingine....
Furaha yetu vijana kwa Utumishi kututoa mtaani
Mungu awasimamie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…