Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu nan ashawai fanya online aptitude test za private sectors ni vitu gani vya kuzingatia nimepewa masaa 48 wakuu kabla sijafungua link
Chief sijui ulishapata majibu.. ila kiufupi online aptitude test za private huwa hazina mambo mengi.. Ni unatakiwa uwe na kompyuta yenye internet safi na isiyokatakata.. Then upate eneo lenye utulivu ukae kufanya bila kusumbuliwa na mtu yoyote wala distraction nyingine zozote za kimaisha.. Test zipo timed kwahiyo unapofungua uanze...hakuna ruhusa za kwenda chooni...yenyewe inahesabu tu mda wa mkando kisha itajifunga... Pia zingatia kutofungua tab zingine zozote wala ku minimize tab.. Hope maandalizi yako yalikuwa mazuri
 
Apa ni

Kuwa na pc na na simu kwa ajili ya ku google
 
Bora iwe hivyo mkuu tukajaribu bahati zetu.
Yaani hii kitu muhimu ishakuwa bahati nasibu ? Kweli kama nchi tumepoteza muelekeo na watunga Sera wametu let down

Back
Top Bottom