Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 395
- 1,195
Yeah Mkuu maana watu lazima wapate pardiem za kutumia kipindi cha sikukuNgoja tuvute subira
mimi naamini 4 kwenyewe haifiki ni kuanzia jumatatu tarehe 2 mpaka 16Amini December 4 Hadi 16 lazima watu wafanye saili Mkuu
Hapo yaan ishatoka hio mpaka mwakani
Majanga hayo mkuu kwa sisi jobless🙆Hapo yaan ishatoka hio mpaka mwakani
Bora iwe hivyo mkuu tukajaribu bahati zetu.mimi naamini 4 kwenyewe haifiki ni kuanzia jumatatu tarehe 2 mpaka 16
tukimaliza tu uchaguzi tarehe 27 pdf za usaili kama kawa
Nakubali mkuu mungu awe nasi..🙏Amini December 4 Hadi 16 lazima watu wafanye saili Mkuu
Chief sijui ulishapata majibu.. ila kiufupi online aptitude test za private huwa hazina mambo mengi.. Ni unatakiwa uwe na kompyuta yenye internet safi na isiyokatakata.. Then upate eneo lenye utulivu ukae kufanya bila kusumbuliwa na mtu yoyote wala distraction nyingine zozote za kimaisha.. Test zipo timed kwahiyo unapofungua uanze...hakuna ruhusa za kwenda chooni...yenyewe inahesabu tu mda wa mkando kisha itajifunga... Pia zingatia kutofungua tab zingine zozote wala ku minimize tab.. Hope maandalizi yako yalikuwa mazuriWakuu nan ashawai fanya online aptitude test za private sectors ni vitu gani vya kuzingatia nimepewa masaa 48 wakuu kabla sijafungua link
Hakuna hio haipo hakuna PDFBora iwe hivyo mkuu tukajaribu bahati zetu.
MIMI nilisema November 11 imepita shwaaaa hakuna kituAmini December 4 Hadi 16 lazima watu wafanye saili Mkuu
Kuwa na pc na na simu kwa ajili ya ku googleChief sijui ulishapata majibu.. ila kiufupi online aptitude test za private huwa hazina mambo mengi.. Ni unatakiwa uwe na kompyuta yenye internet safi na isiyokatakata.. Then upate eneo lenye utulivu ukae kufanya bila kusumbuliwa na mtu yoyote wala distraction nyingine zozote za kimaisha.. Test zipo timed kwahiyo unapofungua uanze...hakuna ruhusa za kwenda chooni...yenyewe inahesabu tu mda wa mkando kisha itajifunga... Pia zingatia kutofungua tab zingine zozote wala ku minimize tab.. Hope maandalizi yako yalikuwa mazuri
Yaani hii kitu muhimu ishakuwa bahati nasibu ? Kweli kama nchi tumepoteza muelekeo na watunga Sera wametu let downBora iwe hivyo mkuu tukajaribu bahati zetu.
Mma nnyambala mbombo ngafumimi naamini 4 kwenyewe haifiki ni kuanzia jumatatu tarehe 2 mpaka 16
tukimaliza tu uchaguzi tarehe 27 pdf za usaili kama kawa
december 9 wanatakiwa kupeleka report idadi ya walioajiriwa...mimi naamini 4 kwenyewe haifiki ni kuanzia jumatatu tarehe 2 mpaka 16
tukimaliza tu uchaguzi tarehe 27 pdf za usaili kama kawa
Mkuu ina elekea upo kitengo sahizi unakula asali yako tu.Hakuna hio haipo hakuna PDF
Endeleeni kusugua lami vijanautumishi kiboko ukiona matangazo ya halashauri tu ujue hapo ndo baas
Endeleeni kusugua lami vijana bado bado sanaMkuu ina elekea upo kitengo sahizi unakula asali yako tu.
Kangi na loli 🤣🤣🤣Mma nnyambala mbombo ngafu
lazima tunyookeEndeleeni kusugua lami vijana