Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naomba kuuliza assistant nurse ii anakunja ngapi kwa mwezi KWA GAVOO
 
Mm nawatakia kazi njema wote, imani yangu inaniambia wote humu tutaajiriwa kitakachotofautisha ni muda na vituo vya kazi. Lakini niwakumbushe wanaotarajia kuajiriwa hakikisha unajiandaa vizuri sanaa.
Nawatakia usiku mwema.

Ameen, mimi natumae nwezi wa 3 auvuki nitakua napigwa na kipupwe 😂😂
 
Huu msako wa Utumishi wanaofanya kwenye Afya sio Poa 100%...
Hizi juhudi wazionyeshe pia kwenye Taasisi nyingine Pia....
Wapambanaji kufika 9/12 tuwe kwenye dimbwi la asali...
 
Huu msako wa Utumishi wanaofanya kwenye Afya sio Poa 100%...
Hizi juhudi wazionyeshe pia kwenye Taasisi nyingine Pia....
Wapambanaji kufika 9/12 tuwe kwenye dimbwi la asali...
wangekua wanatupia na pdf za taasisisi mbalimbali zenye ukubwa wa kutosha ingekua poa..
 
Tena wangejijenga zaidi kuaminiwa...
Hii ya afya naona waliopita wote oral wapo dimbi la asali....
hapo mikeka ya afya bado inaendelea 2025 wanaanza na walimu naona wanabalance mzani maana hizi kada na wenyewe walisugua bench
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…