ery mendez
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 298
- 626
Huyo meck pro alisema kaona pdf iko wap😂😂😂😂 hazina maana mzee
Alikua anazingua tuHuyo meck pro alisema kaona pdf iko wap
Jobless anazngua hajui tutammindAlikua anazingua tu
😂😂😂😂😂hajui vichwa vimepata motoJobless anazngua hajui tutammind
Ushakuula shavu wewe [emoji3][emoji3]Selected for null
[emoji23][emoji23]
Atakaeenda interview utumishi aulize hz status maana ake😂😂😂😂😂hajui vichwa vimepata moto
Nikienda lazima niwaulize hili swali aseeAtakaeenda interview utumishi aulize hz status maana ake
KabsaNikienda lazima niwaulize hili swali asee
Wanatuchanganya sana Hawa watuKabsa
Imagine niliishia kuona suti aliyovaa bila kumtambua muhusika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prok amekua most wanted
Jana nilikosa tiketi hapo mida ya saa nane mchana, nikaamua niende nanenane nikaenda kupanda Dolphin.Kama kuna mtu yupo Shabiby inayotoka Dom saa kumi nipo humo nimejituliza tuli nifike Dar usiku wa manane[emoji23], km ni mnywaji nimpe kinywaji [emoji3060]
Siku ya kufuata barua, naomba umwalike wizy akawe mpambe.Sema nina suti yangu ya gray hiyo ndo itakuwa ya kufatia barua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
hii nyingine ni ya mikando tuuu
Huu mjadala wa status nimejikuta nacheka asee 🤣🤣🤣We ushatoboa asee
Halafu mimi tangu nijitambue ilipokuwa na miaka 9 hadi 10, sijawahi kuvaa suti hadi sasa.Hiyo ndo nzurii
Zangu za kike
Ushakandwa wewe tulia🤣🤣🤣🤣🤣Hizo status ni misbehave ya system hazina reflect yyte kwenye placement i dont trust them
🤣🤣🤣 mi nina selected for oral yngu imetulia tulii 🤣🤣Ushakandwa wewe tulia🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha🤣🤣🤣🤣 ebu check placement bado huko🤣🤣🤣 mi nina selected for oral yngu imetulia tulii 🤣🤣
Ungenitafuta jana nilikua nakula maisha hapo sheli kibaha badae nikasogea njiweni 🤣🤣🤣🤣🤣Jana nilikosa tiketi hapo mida ya saa nane mchana, nikaamua niende nanenane nikaenda kupanda Dolphin.
Saa 4 na nusu usiku nikawa nimeshushwa hapa Viunga vya Kibaha.
Sasahivi bila shaka utakuwa unacheza kwenye maeneo ya Mlandizi