Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama kuna mtu yupo Shabiby inayotoka Dom saa kumi nipo humo nimejituliza tuli nifike Dar usiku wa manane[emoji23], km ni mnywaji nimpe kinywaji [emoji3060]
Jana nilikosa tiketi hapo mida ya saa nane mchana, nikaamua niende nanenane nikaenda kupanda Dolphin.

Saa 4 na nusu usiku nikawa nimeshushwa hapa Viunga vya Kibaha.

Sasahivi bila shaka utakuwa unacheza kwenye maeneo ya Mlandizi
 
Sema nina suti yangu ya gray hiyo ndo itakuwa ya kufatia barua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
hii nyingine ni ya mikando tuuu
Siku ya kufuata barua, naomba umwalike wizy akawe mpambe.

wizy kawa outstanding sana na mtoa miongozo hapa, anastahili jambo kaupambe kama hako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo ndo nzurii
Zangu za kike
Halafu mimi tangu nijitambue ilipokuwa na miaka 9 hadi 10, sijawahi kuvaa suti hadi sasa.

Labda nishawahi kuvalishwa huko utotoni.

Kuvaa tai kwenyewe nilipomaliza Olevel, sikuvaa tena nilikuja kuvaa mara moja kipindi nagraduate.

Saa ya mkononi mara mwisho kuvaa na kumiliki ilikuwa nilipomaliza Advance[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa mtindo huu huenda kuna mambo huwa napitwa ila mimi naona kawaida tu
 
Jana nilikosa tiketi hapo mida ya saa nane mchana, nikaamua niende nanenane nikaenda kupanda Dolphin.

Saa 4 na nusu usiku nikawa nimeshushwa hapa Viunga vya Kibaha.

Sasahivi bila shaka utakuwa unacheza kwenye maeneo ya Mlandizi
Ungenitafuta jana nilikua nakula maisha hapo sheli kibaha badae nikasogea njiweni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom