Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pdf zitamwagika kuanzia trh 15 za usaili na kazini
Hizo pdf za usaili kwa tarehe hizo ina maana wao hawana sikukuu ya kupumzika, kwa maana hapo watangaze na mpaka sahili zifanyike huwa wana toaga na muda wa siku tano au hata nne za kabla kwa wale interviewees wajiandae then ndio wanafanya usahili, ina maana mpaka Christmas kutakuwa na usahili..?
 
Mkuu sisi watuite tu
 
Wale mliofanya usaili wa kuandika wiki iliyopita mmefanyia kwenye makaratasi au Online? Na maswali yalikuwa ya multiple choices au kujieleza? Ushuhuda tafadhali.
 
Na

Nimegundua jamaa hawatabiriki nikujiandaa kivyovyote tu me mwezi uliopita nlifanya ya kuandika kwenye karatasi na ni essay
 
Ni maswali mangapi na wanataka point ngapi ngapi kila swali? Na muda wanatengaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…