Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu nimehama mkoa nataka kubadili taarifa za kwenye profile pale inagoma kipengele cha wilaya haitaki. Vipi uko kwenu mliohama kanda moja kwenda nyingine iwapo mkaitwa kwa interview??

Ikukute eneo husika
 
Mtu wa utumishi kama yupo kwenye hili jukwaa atoe Muongozo kwanini pdf zinatoka kidg kidg na haiwati watu kwenye sail toka mwez wa 8 mpaka sasa
 
Imagine mkuu mmekaa kwenye kikao mnampitisha mtu mmoja kesho watano baada ya siku 3 tena 8 bora watulie bora wakae ata siku 15 watoe pdf la kueleweka.

Any way wataalam wetu tusiwapangie mambo. Hii nchi ukiwa kiongozi una akili tu basi
hawa jamaa wamezidi dharau sana. ndio shida ya kumpa muafrika dhamana au cheo flani lazima akitumie kuwaumiza waafrika wenzake
 
Back
Top Bottom