Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mnaendeleaje wakuu.
Nimewakumbuka jamani.
Nimewakumbuka jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi niliajiriwa mwezii wa Nane mwaka huu ila huo mwezii sikupata mshahara nikaja kupata wa Tisa (09),NB HR alinipa Check number baada ya kupata mshaharaWakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.
Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.
Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
oya Utawala2025 mambo vp.naona malalamiko yameamia kwenye mshahara bora wewe aisee wengine bado tunalalamikia maPDF.🤣🤣🤣Wakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.
Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.
Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
kwenye tar 23 lazima wawalipe kwaaajili ya xmass usikonde sasa hivi watakua wanaandaa checknumbersWakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.
Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.
Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
Nakubali mzee hii naishi nayoUsiendike sana eleza kidg mistar miwili tia mfano sepa kk
Mkuu hizi hustle sio poa mkuu lkn yatapita tumuda wa majobless kutamania hata pdf la matokeo ndo umefika sasa 🤣 🤣
Ni Halmashauri tena mtu mmoja tu ameitwa mkuu.kuna pdf
naona huko wamejazana vilaza tu yaani hawapo organized hata chembe yaani kama taasisi la mataahira.utashangaa na kesho yanapost watu watano tenaUyu alietoka leo atakuwa na undugua na watu wa utumishi aisee
Sekretarieti ya AjiraMtu wa utumishi kama yupo kwenye hili jukwaa atoe Muongozo kwanini pdf zinatoka kidg kidg na haiwati watu kwenye sail toka mwez wa 8 mpaka sasa
Imagine mkuu mmekaa kwenye kikao mnampitisha mtu mmoja kesho watano baada ya siku 3 tena 8 bora watulie bora wakae ata siku 15 watoe pdf la kueleweka.
hawa jamaa wamezidi dharau sana. ndio shida ya kumpa muafrika dhamana au cheo flani lazima akitumie kuwaumiza waafrika wenzakeImagine mkuu mmekaa kwenye kikao mnampitisha mtu mmoja kesho watano baada ya siku 3 tena 8 bora watulie bora wakae ata siku 15 watoe pdf la kueleweka.
Any way wataalam wetu tusiwapangie mambo. Hii nchi ukiwa kiongozi una akili tu basi
Tuwe wapole mkuu tutalamba asali na sisi muda utafika watabana wataachia tu tuendelee kujiandaaa vizurhawa jamaa wamezidi dharau sana. ndio shida ya kumpa muafrika dhamana au cheo flani lazima akitumie kuwaumiza waafrika wenzake