Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Siku ya kufuata barua, naomba umwalike wizy akawe mpambe.

wizy kawa outstanding sana na mtoa miongozo hapa, anastahili jambo kaupambe kama hako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Asante sana Mwifwa kwakunipendekeza kwenye nafasi naahidi nitaifanya kwa utiifu na mwamvuli nitamshikia Prok asipigwe na jua
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mzee wadudu na tai au phyz na tai huwa havikaa pamoja labda kwenye harusi tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mzee wadudu na tai au phyz na tai huwa havikaa pamoja labda kwenye harusi tu
Hivi huyu jobless hawezi akatengeneza mavirusi siku akienda interview akawakanda nayo hawa jamaa wanachelewesha sana placement watu wameambiwa jumanne now wap wanarefresh website ya Ajira ila bado bila bila
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhhh kwahiyo akawakande na mavairasi au sio hahhh
 
Njoo nikuuzie saa ya mkononi ya kwenda kufatia barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…