Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Siku ya kufuata barua, naomba umwalike wizy akawe mpambe.

wizy kawa outstanding sana na mtoa miongozo hapa, anastahili jambo kaupambe kama hako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Asante sana Mwifwa kwakunipendekeza kwenye nafasi naahidi nitaifanya kwa utiifu na mwamvuli nitamshikia Prok asipigwe na jua
 
Halafu mimi tangu nijitambue ilipokuwa na miaka 9 hadi 10, sijawahi kuvaa suti hadi sasa.

Labda nishawahi kuvalishwa huko utotoni.

Kuvaa tai kwenyewe nilipomaliza Olevel, sikuvaa tena nilikuja kuvaa mara moja kipindi nagraduate.

Saa ya mkononi mara mwisho kuvaa na kumiliki ilikuwa nilipomaliza Advance[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa mtindo huu huenda kuna mambo huwa napitwa ila mimi naona kawaida tu
😂😂😂😂Mzee wadudu na tai au phyz na tai huwa havikaa pamoja labda kwenye harusi tu
 
Hivi huyu jobless hawezi akatengeneza mavirusi siku akienda interview akawakanda nayo hawa jamaa wanachelewesha sana placement watu wameambiwa jumanne now wap wanarefresh website ya Ajira ila bado bila bila
 
😂😂😂😂Hahhhhh kwahiyo akawakande na mavairasi au sio hahhh
 
Halafu mimi tangu nijitambue ilipokuwa na miaka 9 hadi 10, sijawahi kuvaa suti hadi sasa.

Labda nishawahi kuvalishwa huko utotoni.

Kuvaa tai kwenyewe nilipomaliza Olevel, sikuvaa tena nilikuja kuvaa mara moja kipindi nagraduate.

Saa ya mkononi mara mwisho kuvaa na kumiliki ilikuwa nilipomaliza Advance[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa mtindo huu huenda kuna mambo huwa napitwa ila mimi naona kawaida tu
Njoo nikuuzie saa ya mkononi ya kwenda kufatia barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom