Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu,
Msaada. Ikiwa course uliyosoma kwenye mfumo wa ajira portal haipo hyo course inabidi anafanyeje?
Wasiliana na PSRS waeleze wanaweza kuiweka hiyo course.

Course nyingi hazikuwepo kwenye mfumo, ila baada ya kushtuliwa wakaziweka
 
wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Tumia barua hiyohiyo ya utambulisho na usisahau kablasha lako la vyeti ili wakitaka hata cheti cha kuzaliwa unakuwa nacho.

NB: Jobless tumieni hii fulsa ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpigakura mpate vitambulisho msije hangaika huko mbeleni.
 
*wakuu nimepoteza lesseni ya gari na pass ya kusafiria na documents nyingine muhimu. Wamenitaka nikatangaze kwenye gazeti la serikali. Naomba kuuliza hapo zilipo ofisi za gazet la serikali
Sio lazima uende mkuu. Hata kwenye gazeti la mwananchi we katangaze. Nunua gazeti lao, tafuta mawasiliano yao huwa wanaweka page ya kwanza nadhani.
 
Aya Walimu mjiandae Sasa kwanzia tarehe 14 Jan hadi 24 Feb ni mwendo wa kukandwa tuu pia utapangiwa kazi sehemu yoyote ile hapa Tanzania kutokana na ufaulu wako
 
Aya Walimu mjiandae Sasa kwanzia tarehe 14 Jan hadi 24 Feb ni mwendo wa kukandwa tuu pia utapangiwa kazi sehemu yoyote ile hapa Tanzania kutokana na ufaulu wako
Walimu kama nawaona huko waliko......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…