Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wasiliana na PSRS waeleze wanaweza kuiweka hiyo course.Wakuu,
Msaada. Ikiwa course uliyosoma kwenye mfumo wa ajira portal haipo hyo course inabidi anafanyeje?
Course nyingi hazikuwepo kwenye mfumo, ila baada ya kushtuliwa wakaziweka