Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

nakushauri somea ktu ambacho tayar una connection. yaan ukihitimu tu uwe na coonections ya mtu wa kukupa kazi vingnevyo bora ujikite kwny kilimo mana naskia huko katavi mahindi yanakubali sana.
 
Upo sahihi Mkuu maana watu wanalalamika majina ya interview ayatoki lkn yakitoka ndio tunaanza kulalamika why cut point ilikuwa 70 na sio 50
Kwahy n mwendo wa kulalamika kwenye kila jambo 😂
 
au tapeli mkuu
Kuwa makin Sana Mzee nakumbuka kwenye oral yetu jamaa flani hivi wa Utumishi alituambia
" baada ya kumaliza oral ikitokea tapeli yoyote anajifanya ni mtu wa Utumishi na anakuomba hela ili upate hii nafasi kuweni makini Utumishi Huwa atupitii hizo njia"

Mwisho wa kunukuu.
 
Aisee na mimi mwaka huu I wish niingie huko serikalini.
Mpaka sasa nina pending kama 4 hivi.
1.Mda and local gvt-1
2.Nacte ziko pending 2
3.BOT hapa sina uhakika kama ntaitwa sababu GPA sio upper second.
 
nakushauri somea ktu ambacho tayar una connection. yaan ukihitimu tu uwe na coonections ya mtu wa kukupa kazi vingnevyo bora ujikite kwny kilimo mana naskia huko katavi mahindi yanakubali sana.
Connection ipo ya kutosha mzee, halmashauri niliopo hakuna engineer Wala IT, na serikali haiajiri, sasa afsa utumishi mwenyewe alinambia nikasome hiyo, lakini halmashauri ni starting point, ukifika unapambania kuhama kwenye taasisi au mashirika.
 
Na je ikitokea watu wa utumishi wakakupigia sim kujitambulisha na wakakuambia chet Chako Cha form four hakionekan vzur uscan then wanakupa email ukitume tena je na hao ni matapeli?
 
Nimekuelewa kaka nasisi alituambia haya maneno yule mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…