Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nilikua najiona mwisho wa mwezi ni mwendo wa ATM.
Uzuri serikalini hata itokee huu mwezi umeajiriwa wakati wameshaandaa payroll,utaiandikia kama madai haitaenda Bure..so Wala usiombee kujichelewesha kaka
 
Kuna huu uzi una madini, tuupitie

 
Kuna huu uzi una madini, tuupitie

Ngoja tupite nao
 
Back
Top Bottom