Walimu na afya kweli ni kipaumbeleDaaah safari hii walimu na watu wa afya wasipopata kazi huu mwaka watalaamu balaa
kwenye kila pdf la placement za kazi kwa walimu lazima ukutane na wataalamu wa afya walioitwa kazini.
Mno afya wanaitwa kila siku jamaa hadi unawaonea wivuWalimu na afya kweli ni kipaumbele
Yan ndio ninachokiona hapo kaka yan jamaa wakifanya hivyo watakuwa hawajafanya haki kabisa .. ila yote yanawezekana tusubiri tuHizi za waalimu zilizo tangazwa zinaeza kuwahi kufanywa usaili wale wa Accoun mdas tukabaki tena
kwa TRA ata mimi sijaona Bilashaka huyo mwamba anaongelea PSRSMkuuu mimi sijaona pale unaweka wapi io transcript
mkuu huyo kaweka psrs na wengine wanaongelea TRA hapo ndipo mnapotofautianaMkuu
mbona mimi hiyo sehemu ya kuwe transcript haipo ?? Au huu ni mfumo mwingine ??
TRA kila cheti na sehemu yake kulingana elimu ulipo graduateWale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?
Hongera sana mkuu, hapo patamu sasaNilimaliza baadaye nikaenda kozi mambo yalikuwa mengi now nimepangiwa town sisimamii tena hawa ndugu zetu sishindi shambani na wafungwa mambo mukideee
Mhm..unaviwekaje mkuu?TRA kila cheti na sehemu yake kulingana elimu ulipo graduate
Mbona hakuna hiyo option?Mkuu kila chet sehem yake ukimaliza kuweka chuo add level ya nyingine mpaka yawisho O LEVEL
Sema mwanangu ulienda Kiwira kimya kimya.😀.Huu uzi nakumbuka 2021 hivi kwanza mwifa yupo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Utumishi walichonifanya gaddem shit
At last Jeshi likaniokoa
Kila mtu ana wakati wake
Walitoa lakin haikupitia utumishi,maombi yalitumwa kwa njia ya email,,sio za utumishi kivipi tena rahsully hizi si ni zile zilizotoka mwaka jana mwez wa nane mwaka jana.kwan walishawahi kutoa post nyingine ya electrical engineer tofauti na zile..??
oukey..Walitoa lakin haikupitia utumishi,maombi yalitumwa kwa njia ya email,,
Mkuu nenda kafute pale edit kila chet na sehem yakeMbona hakuna hiyo option?
Option iliyopo ni qualification kuweka vyeti vyote kwa single pdf.
Mmh labda portal tumeweka tofautiMbona hakuna hiyo option?
Option iliyopo ni qualification kuweka vyeti vyote kwa single pdf.
MbayaaaMajobless habari ya mchana