Ndio Mkuu. Certifie kila kitu.Hivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..Nawakumbusha Tena ndugu zangu
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
View attachment 3234277
TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA
Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...www.jamiiforums.com
Aliekuambia u certify transcript nani? Humu wajuaji wengi utapotezwa na wengine Wana malengo mabaya ya kuchanganya watu wakosee waitwe wao. Soma maelekezo au waulize waliotoa tangazo la kazi Kuna mawasiliano yao pale.Hivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Sina uhakika wa kitachotokea kwenye Interview au kesho yangu, lakini hilo halinizuii mimi kufanya vitu kwa uweledi mkubwa.Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Akiandika address kwa usahihi anajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuitwa kwenye usahili pia kama akipita kwenye usahili anaweza pata kazi ivyo Moja kwa moja akiandika address kwa usahihi anaweza kupata kaziKwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Kisheria copy yoyote lazima iwe certifiedMe naomba kujua hivi na transcript na birth certificate navyo viwe certified?
Kwaiyo hiyo Tanzania Revenue Authority imcost mtu….. wonders shall never endNawakumbusha Tena ndugu zangu
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
View attachment 3234277
TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA
Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...www.jamiiforums.com
Unajuaje kama sio mtego huo?Kwaiyo hiyo Tanzania Revenue Authority imcost mtu….. wonders shall never end
Kwa taarifa yako tangazo hata la 2023 liliandika address namna hiyo na hakuna ambae hakua shortlisted kisa kaweka TRA. Usiwapanikishe watu.Unajuaje kama sio mtego huo?
Kama umepewa maelekezo madogo tu na unashindwa kuyafata utaweza kweli kazi.
Attention to details utaipatia wapi kama hapo tu inakushinda.
Sawa mkuu nimekupataKila cheti na transcript yake weka kwenye PDF moja.
Katika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.Kwaio wewe una uhakika utapata kazi kati ya watu labda elfu 6 watakaoitwa interview sababu umeandika address vizuri..
Mkuu sasa kama jagi la maji tu lilikushinda itakuwaje aptitude za testutumish chukueni hatua za haraka kutunusuru majobless wengine hata kubet hatuko competent kila siku tunaliwa tutakua machiz huku kitaa kubaaabaq... 🤣 🤣
Katika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.
Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.
Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.
Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.
Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nyingine
Mmh ni changamoto hii sasa itakuwaje mkuu tu edit tulioandika bila kuweka TRA kakaKatika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.
Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.
Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.
Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.
Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nying
Au tuache tu hivyo hivyoKatika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.
Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.
Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.
Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.
Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nyingine
Mbona niliaga kwenye ule uzi utakuwa sijui ulishakufa 😅 ule uzi wa magerezaSema mwanangu ulienda Kiwira kimya kimya.😀.
Kushtukia tukakuona mitandaoni unaapa
siku hizi si multiple choice naweza nikabahatisha ila wakirudisha zile za kuandika napotea mchana kweupe..Mkuu sasa kama jagi la maji tu lilikushinda itakuwaje aptitude za test
Hahaha utumishii hoyeeeesiku hizi si multiple choice naweza nikabahatisha ila wakirudisha zile za kuandika napotea mchana kweupe..
Na kuna wale waliopata 8.Walimu kwa sasa tunaongea nao lugha moja