Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Prok Wewe si umefanya mda na lga interview hebu tupe nondo zake maana huu mfumo wa kuuliza mswali ya kitaasisi yanatesa Sana
Nadhani mfumo wa sasa wa maswali kwa mwaka huu interview nilizohudhuria kama sio technical post maswali yao yanakuwa kama scenario Fulani Yani anaanza labda .
Tanzania Ulipata uhuru mwaka flani rais akawa nyerere ,halafu anakuuliza je kitu gani kilimsaidia nyerere kuongoza nchi?
 
Hakikaa
 
Halafu sasa hivi yaan kwenye oral zote nkizofanya nlivyosoma havijanisaidia labda kwa asilimia 10 tu. Maswali mengi yalikuwa uelewa wako
Nafikiri kwenye oral kinachotusaidiaga ukiwa umesoma sanaaa unakuwa na confidence sasa Ile confidence inakusaidia kumanage kujibu swali hata kama hujalisoma lakini umeelewa linataka nini hapo unaweza kulijibu vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…