Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kweli kuna dalili wakaitwa watu interview tena, kwa ajira zilizotangazwa January 8 mwaka huu
Kama ni ajira za January hapo subiri mpk mwezi wa tano mpk wa sita . Maana wapo wa mwezi wa nane hawajaitwa mpaka sasa
 
Ila utumishi wana fanya mzaha sana na maisha ya watu usahili miezi karibia nane watu wapo tu wana subiria kuitwa na wao tu..πŸ€”
 
Yani hapo kuna interview nyingi sana ziko pending.. sasa huwa najiuliza hizi ajira wanazotangaza kipindi hiki watafanya interview lini au mpk mwakani
 
Hawapo serious na wanachofanya, mkeka wenyewe wanatoa kidogokidogo, si watafika mpk mwakan ssa kwa hali hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…