Mkuu siku nyingine uwe unataja kabisa jina la mkoa, mambo ya X na Y ni sawa unaturudisha shule kutafuta thamani ya X, wakati tumeambiwa twende VETA 😂.Wakuu, nilituma maombi ya kazi PSRS nikiwa Mkoa "X", hivyo anuani niliyokuwa nimeandika kwenye mfumo na kwenye barua ni ile ya huko Mkoa "X". Status ya maombi bado inasomeka Received. Kwa kifupi ni kwamba hawajatoa shortlist mpaka leo.
Lakini kwa sasa nimehamia Mkoa "Y". Nimebadilisha anuani kwenye mfumo na kuweka anuani ya nilipo kwa sasa ila barua ile inasoma anuani ya awali (huwezi badilisha tena ukishatuma maombi).
Je, shortlist ikitoka watanipangia nikafanye usaili Mkoa "X" au "Y"?
Mkuu, asante sana.😄😄Mkuu siku nyingine uwe unataja kabisa jina la mkoa, mambo ya X na Y ni sawa unaturudisha shule kutafuta thamani ya X, wakati tumeambiwa twende VETA 😂.
Kwa kujibu swali lako: Usahili utapangiwa kufanyia mkoa Y.
Ukiwa na connection au mkono mrefu unaweza kukichukua dakika kumi baada ya kuomba Yani unaambiwa nenda kanywe chai ukirudi utakuta kipo kwenye bahashaWasomi kwemaaa?
i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni?
ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?
Cheti cha kuzaliwa kinachukua muda wa siku Saba toka kitumwe Rita mkuuWasomi kwemaaa?
i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni?
ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?
Kwa upande wa" deed poll" hapo ina tegemea na matakwa yako kwa maana wame weka options mbili yani kuna ya hapo kwa hapo kupata deed poll ila kuna malipo kadhaa ya juu kidogo inabidi ulipie bank ndio ufanyike mchakato huo na kuna njia nyingine ya kusubiria kwa siku mbili mpaka tatu nayo pia inalipiwa bank lakini kwa kiasi kidogo cha pesa pale Ardhi, na hii ni kwa sababu yenyewe inachukua muda wa siku kadhaa kutoka ndomana bei ipo chini.Wasomi kwemaaa?
i) kwa wazoefu, cheti cha kuzaliwa kinachukua muda gani kutoka baada ya kuomba mtandaoni?
ii) Deed poll inachukua muda gani kusajiliwa ardhi?
Namshukuru Allah nilibahatika kuingia katika Utumishi wa UmmaKwa hiyo huko mjengoni. Kwa sasa unakula honoraria mkuu au unasubiri pdf ya majina?
Kukuita kazini watu interview tu tangu mwaka jana walioomba mwezi wa 6/7/8/9/10/11 hawajaitwa wewe unasema kuitwa kazini?Utumishi kama kuna kosa niliwakosea nisameheni.
Kwanini utumishi wanatumia muda mrefu kuniita kazini😭😭😭???
Hongera Sana mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Allah nilibahatika kuingia katika Utumishi wa Umma
Kila lakheri Mkuu, usiache kujiaandaa vyema na kuvaa vizuri siku iyoNdugu yenu nimebahatika kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral), kwa sasa nipo Da'slaam baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Naombeni dua zenu.
Asante mkuu.Kila lakheri Mkuu, usiache kujiaandaa vyema na kuvaa vizuri siku iyo
Mungu akakufanikishe katika hili MkuuNdugu yenu nimebahatika kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral), kwa sasa nipo Da'slaam baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Naombeni dua zenu.
Kila la kheri mkuu. Usisahau confidence, hata kama ni ya kuigiza.Ndugu yenu nimebahatika kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral), kwa sasa nipo Da'slaam baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Naombeni dua zenu.
Nashukuru sana ndugu yanguHongera Sana mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
paper ilikuwa tough, hata sijui nimepitaje. Naamini ni maombi ya ninyi ndugu zangu ndio yamenifanya nipenye kwenda practical na hatimaye oral.Pepa ilikuaje?
Hongera sanaNashukuru Mungu nilifanikiwa kufanya Written Interview kwa mara ya kwanza juzi Ijumaa pale UDSM (Human Resource Officer II), nimepata majibu leo na nimekuwa selected kwenda Oral Dodoma. Hakika Mungu ni Mkuu mno, tuendelee kumtumainia yeye bila kukata tamaa. Naamini atasimama na mimi katika Oral niweze kupata ajira Insha Allah.