Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sizani mimi nahisi watatuita mwezi wa 3 huko baada ya kumalizana na walimu
Kumalizana kabisa na waalimu mpaka mwez 8 huko ndio watakuwa wamemalizana nao kabisa kabisa mkuu placements na wameisha. Ila wakisema wamalize waalimu kwanza inaenda mpaka 2026
 
Hizi pdf za walimu lakin ukifungua unakutana na kada nyengine sijui hii imekaaje
 
Sas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafungui
hawa jamaa utumishi hizi ajira za ualimu masomo husika wamepeana tu. Au zimetoka tamisemi zina maelekezo maalum.!! Imagine trh zilizoandikwa kwa waliofanya usaili mbona haziendani na muda waliota watu kwenye usaili???
 
😀😀😀😀😀😀......Picha linaaza
Chukua Majina ya pdf la Tangazo kada hiyo alafu compare majina ya walioitwa kazini....
 
Back
Top Bottom