Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Computer Science, IT inaweza kuwa ideal kwako kwasababu unamasomo ya physics na math kwenye huo ualimu wako.Connection ipo ya kutosha mzee, halmashauri niliopo hakuna engineer Wala IT, na serikali haiajiri, sasa afsa utumishi mwenyewe alinambia nikasome hiyo, lakini halmashauri ni starting point, ukifika unapambania kuhama kwenye taasisi au mashirika.
Sasa kwanini usisome distance learning hiyo miaka mitatu kuliko kutaka kupoteza muda kwa kukomaa na diploma za civil?
Unataka kutoka lakini bado hujawa tayari kusota ili utoke.