Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Connection ipo ya kutosha mzee, halmashauri niliopo hakuna engineer Wala IT, na serikali haiajiri, sasa afsa utumishi mwenyewe alinambia nikasome hiyo, lakini halmashauri ni starting point, ukifika unapambania kuhama kwenye taasisi au mashirika.
Computer Science, IT inaweza kuwa ideal kwako kwasababu unamasomo ya physics na math kwenye huo ualimu wako.
Sasa kwanini usisome distance learning hiyo miaka mitatu kuliko kutaka kupoteza muda kwa kukomaa na diploma za civil?
Unataka kutoka lakini bado hujawa tayari kusota ili utoke.
 
Madam unanishauri nikaze sana nisiende halmashauri nikale green pasture GPSA NIMR TRA TCRA TIC BOT TSN WIZARAN NA LKN SIO HALMASHAURI NAPAJUA VZURI NILIKUA AFISA MTENDAJ KATA X MKOA X KWA MKATABA WALE JAMAA WANAJUA MAJUNGU NA UNAFKI TU
Kabisa pambana ya hela yote usiangukie halmashauri ikishindikana bas at least ziwe halmashauri kubwa za town au manispaa
 
Back
Top Bottom