Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Muhimu ioneshe tarehe.Naomba kuuliza hivi kama ushaajiriwa lakini unataka kufanya interview ajira portal ile cover letter inayopitia kwa DED ni lazma ioneshe tarehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu ioneshe tarehe.Naomba kuuliza hivi kama ushaajiriwa lakini unataka kufanya interview ajira portal ile cover letter inayopitia kwa DED ni lazma ioneshe tarehe
OkyyyMuhimu ioneshe tarehe.
Sizani mimi nahisi watatuita mwezi wa 3 huko baada ya kumalizana na walimuKuanzia kesho mpaka trh 10 watakua wameita MDAs & LGAs zilizobaki ***** nafasi 100 nikikosa kuitwa au nika fail sifanyi tena saili za psprs naenda DRC CONGO
Kumalizana kabisa na waalimu mpaka mwez 8 huko ndio watakuwa wamemalizana nao kabisa kabisa mkuu placements na wameisha. Ila wakisema wamalize waalimu kwanza inaenda mpaka 2026Sizani mimi nahisi watatuita mwezi wa 3 huko baada ya kumalizana na walimu
Hawa mkuuu ni mwaka jana sijui ukiangalia date pale waliofanya interview sasa ninacho jiuliza interview walifanyia wap???Walimu washaitwa kazini daaah!!!
Na waalimu wapo ni mixer mkuuHizi pdf za walimu lakin ukifungua unakutana na kada nyengine sijui hii imekaaje
Sas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafunguiNa waalimu wapo ni mixer mkuu
hawa jamaa utumishi hizi ajira za ualimu masomo husika wamepeana tu. Au zimetoka tamisemi zina maelekezo maalum.!! Imagine trh zilizoandikwa kwa waliofanya usaili mbona haziendani na muda waliota watu kwenye usaili???Sas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafungui
Wanataka jobless tufungie kila mkekaSas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafungui
Database ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepoQumaqumamamaeee walimu wametolewa database wakuu😂😂😂🤣🤣
Hawa wamechanganya mafaili Kwa sababu Kuna afisa ustwawi wa jamii msaidiz wamefanya tarh 7 mwez wa 1 mwaka huu na majina yameanza kutokaDatabase ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
Baadhi ya mikoa physics na math tayari washatoa majinaDatabase ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
😀😀😀😀😀😀......Picha linaazahawa jamaa utumishi hizi ajira za ualimu masomo husika wamepeana tu. Au zimetoka tamisemi zina maelekezo maalum.!! Imagine trh zilizoandikwa kwa waliofanya usaili mbona haziendani na muda waliota watu kwenye usaili???
Duuh basi wameamua kuwaisha placements siku hiziHawa wamechanganya mafaili Kwa sababu Kuna afisa ustwawi wa jamii msaidiz wamefanya tarh 7 mwez wa 1 mwaka huu na majina yameanza kutoka
Kwahiyo ni kweli ni majina ya walofanya juzi hapo??Baadhi ya mikoa physics na math tayari washatoa majina