HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Hongera sana mkuu,

Mwenyezi Mungu akuongoze katika majukumu yako mapya.
 
Umemaliza kila kitu.pamoja sana nimekupata vilivyo
 
Uliomba ya nini kama huna uhakika wa kujibu maswali? Elimu yako imekusaidia nini sasa
People who visit this forum use to help each other as long as what he/she asks is within your capacity, haukuwa na haja ya kujibu harshly kama uliona ni meaningless question ungepita tuu mzee,... ukifatilia shuhuda za humu watu wanapata kazi kwa kufuata ushauri na misaada ya mawazo tokea humu...
 
Upo sahihi mkuu. Uzi huu upewe heshima yake. Wengine umetutoa jalalani
 
Unajua umuhimu wa huu uzi we mbuzi?
Najua kiasi gani umekasirika Mkuu baada ya kusoma comment ya uyo ndugu yetu
Lakini aina haja ya kumuita jina la mnyama maana mnaweza kuanza kutoleana maneno yasio na staha ivyo inatosha kumkumbusha kwamba hii thread ni yamuhimu sana alafu tulikubaliana kama kitu uji ni vyema kukaa kimya maana jibu lako linaweza kumvunja moyo mwenzako au kumpa natumaini ya uongo.
 
Naomba kuuliza Kwa aliewahi Fanya kazi MUHIMBIL au hata kujua TU kutoka Kwa watu mbalimbali katika hiz kazi za part time mshahara kima Cha chini unakuaga shingapi Kwa ngazi ya degree kwenye projects zao kama en reached nakadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…