Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi kuhama kutoka Halmashauri kwenda taasisi inabidi uwe na ukali gani
Hii ni kama vita ya Uganda na Tanzania.

Kuna mtu anaitwa DED anatakiwa asaini.

Halfu kuna uhamisho uende wizara ya utumishi ndo wapitishe.

Nina rafiki yangu mpaka sasa anamaliza mwezi wa nane alipata ajira Taasisi Database lakini alikuwa Ana check namna tayari process zote kapita barua imekwama utumishi.
 
kwa nini usingesubiri mpaka watoe pdf ya tangazo ili ujue anuani unayotumia either kwa katibu utumishi au
Na imegoma mkuu.... imeandika failed nahisi nimeanza mapema sana....nasubiri pdf ubarikiwe..... Asante kwa ukumbusho
 
Wakuu tuendelee kuongeza received
Kuna vacancies zimemwagwa huko ajiraportal,ingia kwa account yako
Hao jamaa wahuni. Nimeona posts za eGA jioni hii lakini kila nikijaribu kufanya application zinagoma. Ila moja tu ya standards and compliance ndio inakubali. Watuajiri tuwatengenezee mifumo bora hawa wakandaji
 
Walikuwa hawajamaliza ku upload tangazo
 
Sema nafasi tu zinatangazwa aisee. Kijana mtafuta ajira, kama inawezekana, hakikisha umefanya interviews zote zinazokuhusu maana huwezi jua nini kinakuja mbele.

Hiv hawa NHIF, PSSSF, WCF, MSD, REA, TCRA, PURA, TPDC, NEMC, OSHA, NHC, TBS, TFS, TFNC, TANROADS, DCEA, NSSF, BRELA, EPZA, TTCL, GCLA na wenzao wa aina hii wao hawana uhitaji na watumishi? Au wakuu mlioenda Halmshauri ndio mnahamia huko kwa kasi na kumaliza ikama zote??​
 
EWURA, LATRA, PBPA nao hawastaafu wala kufa
 
Back
Top Bottom