fyegu
Member
- Oct 17, 2017
- 74
- 115
Hongera sana kaka all the bestNamshukuru Mungu nimeona jina langu kwenye pdf ya leo baada ya kupiga oral mwezi May mwaka huu, database is real...TAMAA NI DHAMBI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana kaka all the bestNamshukuru Mungu nimeona jina langu kwenye pdf ya leo baada ya kupiga oral mwezi May mwaka huu, database is real...TAMAA NI DHAMBI
Pole sana next time usiache kwenda oral maana ndo usaili wenyewe,wao watajua namna ya kukusaili mkuuAsante sana mkuu...mwaka jana nilipita written vizuri tu ila oral sikwenda sababu ya changamoto yangu ya masikio... ubarikiwe.
Ni nzuri sana zinakufanya utambulike kwamba ww ni mtalamu katika eneo husika,na ukubarike na taasisi nyingi ambazo zina asali tamuWakuu..
Hivi hizi international certificates zinafanya kazi serikalini?
Zinaweza kukupandisha cheo au kukuongezea daraja la mshahara kama ilivyo private?
CCNP, ACCA n.k
Nilitaka kujua kama na huko gov zinakuwa na maana kama private...ngoja tupambaneNi nzuri sana zinakufanya utambulike kwamba ww ni mtalamu katika eneo husika,na ukubarike na taasisi nyingi ambazo zina asali tamu
Kwa mtu wa IT usipuuze hizi certification,hazikuongezei mshahara wala daraja bali Zinakutambulisha kwamba ww ni expert katika eneo hilo
Tuongeze received IT zimemwagwa TAA na IAANilitaka kujua kama na huko gov zinakuwa na maana kama private...ngoja tupambane
Asali wa Nyuki wakubwa AKA buyu la saliHakikisha unaongeza received
Hakikisha unahudhuria written
Hakikisha unahudhuria unapambana hadi practical
Hakikisha unapambana hadi Oral
Hakikisha unahudhuria Oral
Hakikisha unapambana kujibu maswali angalau 3 kati ya 5
RUWASA, eGA, NEMC, TAWIRI (few to mention )[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ubarikiwe sana aiseh kwa kutushtuaHolder of Bachelor Degree in one of the following fields; Engineering, Economics, Human Resources Management, Public Administration, Agricultural Economics, Agriculture, Sociology, Computer Science, Information Communication and Technology, Library and Information Studies, Mathematics, Statistics, Tourism and Hospitality, Finance, Accounts, Mass Communication, Journalism, Law, Education, Monitoring and Evaluation, Development Studies or equivalent qualifications from recognized institutions.
Admission Officer II hiyo haijaacha mtu
Kaka ubarikiwe kwa moyo wa majitoleo.Hakikisha unaongeza received
Hakikisha unahudhuria written
Hakikisha unahudhuria unapambana hadi practical
Hakikisha unapambana hadi Oral
Hakikisha unahudhuria Oral
Hakikisha unapambana kujibu maswali angalau 3 kati ya 5
RUWASA, eGA, NEMC, TAWIRI (few to mention )[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mkono wa Mungu ukawe pamoja nawewe mkuu...El marabiosh kaka Nimeona electrical naomba kaongeze received.
haki-tz kaongeze received.
Mbaga Jr kaongeze received.
Hizi Database zitawaua.
Mimi nishaanza kusoma kujipanga na usaili wa Tamisemi.
ukiona Admission officer, Examination officer ...hizo ni changanyikeniUbarikiwe sana aiseh kwa kutushtua
Dah mm bado nasubir ajira za TBC mana h course yangu tofaut na hapo sitoboiEl marabiosh kaka Nimeona electrical naomba kaongeze received.
haki-tz kaongeze received.
Mbaga Jr kaongeze received.
Hizi Database zitawaua.
Mimi nishaanza kusoma kujipanga na usaili wa Tamisemi.