Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshukuru Mungu nimeona jina langu kwenye pdf ya leo baada ya kupiga oral mwezi May mwaka huu, database is real...TAMAA NI DHAMBIKuna pdf uko leteni shuhuda
halmashauri zimeamua aisee naona majobless wanapungua kwa kasi ya ajabu kwenye uzi
Unaamini katika nguvu ya maneno katika kinywa chako/vidole vyako?Naona Electrical degree Tushakuwa garbage ,Hadi bwawa la asali TAA nao wanatutema tu .
Wamesomba diploma tu hii pdf ya leo
For further reference katafute hii comment Kimbukiko . Chagua maneno yako wiselyTulia kaka 😅😅....mimi niliofanya nao wawili wameitwa. Ninajua yangu iko njiani, I declare
Kwanza kwenye Profile yako umeonyesha ulemavu wako.Habari Wakuu wote.... Naomba kuuliza je panel ya interview huwa ya watu wangapi??
Pia je sisi wemye ulemavu hasa kusikia (usikivu hafifu) huwa kuna hatua za kutusaidia kupima uwezo wetu kwenye oral??
Mwifwa
Kaka speed ya IT na mwenzake katibu imepungia sanaAaagaaah dah naona IT degree tumepumzishwa kidogo kusubiri taasisi nzito nzito[emoji3][emoji3][emoji3]
Katusahau IT wenzake...naona anatutafutia chimbo zuriKaka speed ya IT na mwenzake katibu imepungia sana
Mwanangu Marabiosh Mungu atawagusa na mwanangu Utawala Mungu ni mwema, nilifanikiwa kulamba mkuu ni neema tukumbe ulishalamba asali ndugu yangu.hongera sana aisee kweli mungu fundi
Miwa mkuu nimeiacha rangi 3 mbagala lakini elimu yake ipo nami [emoji3]nambie mwanangu kwema ukoo.miwa inauzika[emoji1787] [emoji1787]
Mungu awabless nanyi mpate pia kiongozi[emoji1666]Jamaa kashapata pdf la juzi...kajitoa kwenye kashkash hizi
AminaMungu awabless nanyi mpate pia kiongozi[emoji1666]
Ukifika eleza tatizo lako hawatashindwa kukufanyia usahili.Habari Wakuu wote.... Naomba kuuliza je panel ya interview huwa ya watu wangapi??
Pia je sisi wemye ulemavu hasa kusikia (usikivu hafifu) huwa kuna hatua za kutusaidia kupima uwezo wetu kwenye oral??
Mwifwa
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu nimeona jina langu kwenye pdf ya leo baada ya kupiga oral mwezi May mwaka huu, database is real...TAMAA NI DHAMBI
Huu uzi unafatiliwa sana mkuuuKumbe jobless tupo wengi humu, wengine wanaonekana wakiona majina yao tu...
Hongereni mliopata
Dah watu wanachungulia tu sioHuu uzi unafatiliwa sana mkuuu
Ubarikiwe sana mkuu...ndio nimeainisha kwenye account yangu....Kwanza kwenye Profile yako umeonyesha ulemavu wako.
Panelist inakuwaga na watu wengi zaidi ya watano.
Kada gani kwani kiongozi maana wenye ulemavu wanapewaga kipaumbele