Th3the
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,327
- 1,779
zitakuja tu mkuu.Dah mm bado nasubir ajira za TBC mana h course yangu tofaut na hapo sitoboi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zitakuja tu mkuu.Dah mm bado nasubir ajira za TBC mana h course yangu tofaut na hapo sitoboi
wakandaji kivipi mkuuNawaona eGA wakandaji wakuu...hawa jamaa wanajua kukanda
Wanatoa paper ngumu watu wa IT wanawajua haowakandaji kivipi mkuu
inaonekana job description zao pia ni ngumuWanatoa paper ngumu watu wa IT wanawajua hao
Yah n kwel kabisa, ht mm bado cjaona inayonifaa ila hakika ajira zinamwagwa 🔥Japo sijapata kazi, lakini naona ni busara kushukuru pia....
Serikali imetoa ajira nyingi, mimi mpaka nimefikia hatua ya kuchagua ipi niombe na ipi nisiombe....
Hii inatia moyo
Sasa kijana umeanza kuringa omba zote.Japo sijapata kazi, lakini naona ni busara kushukuru pia....
Serikali imetoa ajira nyingi, mimi mpaka nimefikia hatua ya kuchagua ipi niombe na ipi nisiombe....
Hii inatia moyo
Practical zinakua zimekaza sana...inaonekana job description zao pia ni ngumu
kumbe kuna watu mnachagua hadi post za kuomba na hamtuambii😀😀😀😀😀Japo sijapata kazi, lakini naona ni busara kushukuru pia....
Serikali imetoa ajira nyingi, mimi mpaka nimefikia hatua ya kuchagua ipi niombe na ipi nisiombe....
Hii inatia moyo
Hii imekuwa same too me ajira niliyoitarajia olaa database nayo mkeka sio muda unataka kuchanika.Yah n kwel kabisa, ht mm bado cjaona inayonifaa ila hakika ajira zinamwagwa [emoji91]
Tushukuru kwakweli, kuna kipindi website ilikuwa inasoma '0' kada zote alafu JPM hana habari..Sasa kijana umeanza kuringa omba zote.
Mbona mimi nimeomba Gombania Goli Tamisemi sizipendi lakini
Mzee ukiwa mpambanaji lazima hasa ukizoea hizi saili za utumishi kuna muda unajikuta una mzuka na taasisi.kumbe kuna watu mnachagua hadi post za kuomba na hamtuambii😀😀😀😀😀
Mwaka jana mwezi wa 9,10,11.Tushukuru kwakweli, kuna kipindi website ilikuwa inasoma '0' kada zote alafu JPM hana habari..
Tuendelee kusubiri tuoneHii imekuwa same too me ajira niliyoitarajia olaa database nayo mkeka sio muda unataka kuchanika.
Kwenye received nakutana na MDA LGA mwendo wa TGHs.
Wakati wenzako taasisi wanakula mema ya nchi na ulifanya usaili hadi oral ukapasua.
Ya Mungu mengi jamani hata Ibrahim alitakaga mtoto na yeye ila akaja kupata uzeeni
kwani database yako si bado inasoma? soon Mungu ata bless tuMzee ukiwa mpambanaji lazima hasa ukizoea hizi saili za utumishi kuna muda unajikuta una mzuka na taasisi.
Mimi kama ningekuwa na chimbo la kueleweka nadhani nisingeomba ajira za Tamisemi.
Haiwezekani mshahara wa Tamisemi mara mbili ya aliye MUHIMBILI.
Kwani mimi sitaki hela.
Asante sana....nipo naapply hapa tayari....maana profile lipo vizuri ni kufanya application tuukiona Admission officer, Examination officer ...hizo ni changanyikeni
kumbuka na hiyo quality assuaranceAsante sana....nipo naapply hapa tayari....maana profile lipo vizuri ni kufanya application tu
Amen.kwani database yako si bado inasoma? soon Mungu ata bless tu