ππππoya afu nawewe siumeandikiwa not selected?Vp mmeshapanikisha mtu uko nn
Muce imefanya nini tena?Muce
Placement yao kwa hewa japo tangu tarehe 25 October ipo hewaniMuce imefanya nini tena?
Utumishi wanazingua tuPlacement yao kwa hewa japo tangu tarehe 25 October ipo hewani
ππππHao sindo walipigiwa simu sijui utumishi wanakwama wapi aseehHadi taratibu ni kuanzia tarehe 8 hadi tarehe 25 October watu washakula hadi mshahara
Yani sasa ndiyo naona ipo shida mahali sii bureππππHao sindo walipigiwa simu sijui utumishi wanakwama wapi aseeh
Washakula mshahara mapema sanaMliopata mwisho wa kuripoti ni kuanzia tarehe 27 September hadi tarehe 8 October mjitahidi kuendana na muda hongereni mliobahatika
Nawaza tu endapo ukapigiwa na hauko hewani kwa sababu mbalimbali..Kuna namna yoyote ya kukufikia au ndio anapewa mwingineYani sasa ndiyo naona ipo shida mahali sii bure
Duh kumbe watu washaitwa kitamboMliopata mwisho wa kuripoti ni kuanzia tarehe 27 September hadi tarehe 8 October mjitahidi kuendana na muda hongereni mliobahatika
Alishasema hajapata mkuuAhmet njoo utupe feedback umepata au vipi
Sidhani mkuu kama unawez kupoteza kz kirahis hvyoNawaza tu endapo ukapigiwa na hauko hewani kwa sababu mbalimbali..Kuna namna yoyote ya kukufikia au ndio anapewa mwingine
OkaySidhani mkuu kama unawez kupoteza kz kirahis hvyo
Nafikiri utumishi Kuna changamoto kubwa tusiyoijuaYani sasa ndiyo naona ipo shida mahali sii bure
Nakumbuka nilifanya interview June nikaitwa kazini OctoberYaani, wamefanya Chap mnoo, yaani ndani ya siku 40 wamefanya mambo ma3. wametangaza ajira, wameita watu interview na sasa wameitwa kazini.
ngoja aje ashuhudie aliyepata kama ni mwingine au ni yeyeπAlishasema hajapata mkuu